Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Umewahi sikia brazil wana academy? Mchezaji yupi wa brazil katokea academy,Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.
Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.
Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Sema tutanatakiwa kuwa na league nyingj za vijana na mashindano ya vijana yatakayo vumbua vipaji.
Pia na willingness na mipango ya kuwaendeleza na kuwatafutia fursa.