Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.

Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.

Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
 
Hao jamaa ni kama sisi sio majirani nao!
Zambia?
USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.

Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.

Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu?

Ni kwa masikitiko makubwa, kwamba kati ya hao wote uliowataja, hakuna rafiki wa kweli, huo ndio ukweli wenyewe.

Lakini ukitaka kulazimisha urafiki basi mpangilio utakuwa hivi kuanzia wa karibu zaidi:

Burundi, Uganda, Zambia, Msumbiji, DRC, Malawi, Kenya, Rwanda na mwisho Zanzibar.
 
Story za kupendana alisepa nazo Nyerere,Ndio maana hata Magu alisema Tz ilimwaga damu nyingi na kutumia resources zake kibao kwny ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa na in return ilipata Nini? Nothing

Mahusiano ya Sasa Ni ya kimaslahi tu,mengine ni kulishana upepo tu
 
Hao jama ni kama sisi ni majirani nao!
Zambia?

Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu...
Duh huwezi amini in my mind nilidhani ataanza Kenya kwasababu tanaelewana kiswahili.

Burundi? Mbna nlienda Kigoma warundi wengi wanaonewa na kudharauliwa, ukienda kwao unaaheshimika kweli?
 
Tunawapenda Burundi kwakuwa tunammudu mmnyonge Ila great powerful rivals tunawakwepa Kenya Rwanda
 
Duh huwezi amini in my mind nilidhani ataanza Kenya kwasababu tanaelewana kiswahili.
Burundi? Mbna nlienda Kigoma warundi wengi wanaonewa na kudharauliwa, ukienda kwao unaaheshimika kweli?
Katika nchi zote majirani, hakuna nchi tuliyoingiliana nao zaidi kama Burundi. Raia wetu wengi hapa asili yao ni Burundi, na tuliamua sisi wenyewe tuwape uraia huo.
Kwa hiyo, kama mTanzania ukienda Burundi na kupewa heshima, huo ndio undugu/urafiki. Sisi kutofanya hivyo, ni makosa yetu siyo yao.

Kenya hata siku moja hawezi kuwa karibu na Tanzania. Nchi hizi mbili, jadi zao ni kuchimbana tu, huku tukikenuliana meno kinafiki.
 
Back
Top Bottom