successiful dreamer
Senior Member
- Sep 10, 2019
- 103
- 191
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.Watanzania tunapendana sana na BURUNDI. Mtashangaa sio Kenya. Kenya iko kibiashara. Kindugu ni Burundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.Watanzania tunapendana sana na BURUNDI. Mtashangaa sio Kenya. Kenya iko kibiashara. Kindugu ni Burundi.
Na hao ni watu tuliopambana kufa na kupona katika mapambano yao ya uhuru?Kidogo,.
Hiyo ilikuwa mwaka 2017 mwezi wa 3.
Mzozo ulianzia huko migodini ukaishia mijini hadi mitaani mgeni ukikamatwa hatakama una documento yako safi imekula kwako.
Baada ya kama wiki hivi aalijitokeza msaidizi wa ubalozi(alivyojiita) kuongea na watanzania sasa yeye akasema watanzania wote ndani ya siku tano warudi kwao mwenye nyumba,kiwanja abebe kama hakibebeki uza ndani ya siku hizo.
Watu walitupa vitu vyao kibao bila ya kutaka.
Waliua watz wengiMsumbiji
Kenya ipiKENYA na MSUMBIJI, hizo nchi ukienda Mtanzania haina noma kabisa yaan unaishi kama kwenu tu.
Burundi ndio jirani mwema kwetu.USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.
Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.
Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
Issue sio kupendana au undugu.Watanzania tunapendana sana na BURUNDI. Mtashangaa sio Kenya. Kenya iko kibiashara. Kindugu ni Burundi.
Usijitoe akili wakati unajua mliokota dodo chini ya mnaziKama "Zanzibar ni mkoa uliochangamka" kama unavyosema wewe, basi mikoa yote ingechangamka vile, Tanzania ingekuwa ya ajabu sana duniani.
Mkoa unaoendesha li'nchi' kubwa sana na kulifanya hilo li nchi kama mtumishi wake!
Huo si mkoa uliochangamka tu, bali kuna jambo la ziada nyuma yake. Hebu jaribu kuanglia vizuri zaidi ukitambue hicho kitu kilichoko nyuma ya huo mkoa 'janja'.
EeeenHeee Heeee!Usijitoe akili wakati unajua mliokota dodo chini ya mnazi
Congo wana Congo BrazzavilleCongo
Wewe hapa unataka kudanganya watu, na kutaka kujifanya mjuaji, kumbe huna ujualo.Issue sio kupendana au undugu.
Undugu na Burundi utakusaidia nini ????
Wakanada wamejaa Marekani wanapata ajira, Wamarekani wao wanafaidi soko kubwa la Canada. Ni chumi mbili kubwa zinazosukumana.
Dunia hii ni ya ushindani. Kuamini katika udugu usio na faida ndio sababu Afrika iliachwa nyuma.
Walikuja wageni hapa wana explore dunia, tukawachukulia poa kama ndugu, tumevaa magome ya miti tuko happy go lucky tunacheza cheza ngoma kutwa, hatujui kusoma kwa hiyo hatujui historia ya ushindani na unyama wa binadamu; wakatutandika fimbo, funga kamba, swaga kama mbuzi pandisha kwenye meli, peleka utumwani Uarabuni na Marekani, naive people, shenz type. Halafu wakachuma mali wakasepa. We will never recover from such ignoramus naivette.
Najua nachokwambia, ishu iliyopo sasa ni huo UGAIDI ila Mtz ukifika Msumbiji kwanza kabisa ni free visa maisha yako yote. Uwe na Passport tu basi. Unaishi kwa amani kabisaAliyekwambia ninani? jaribu kuenda msumbiji saivi halafu njoo utoe feedaback
Uganda ukishaongea kiswahili tu jua hupati tena ushirikiano wa wenyeji.Uende Kenya ujihisi uko nyumbani?
Ungesema tu Uganda
😄😄 Sijui hata unaongea Nini, Jana tu kulikua na maandamano hapo SA baada ya police kuua mtanzania.south africa na tanzania.mpaka leo watafunya vurugu ila kwa mtanzania hakuna.nimeona hata wakenya wanajifanya watanzania na wasomali kule south
😄😄 huyo jamaa anahadithiwa zile story za eti Nyerere anaheshimika Sana huko South Africa,wkt hata ukimtaja Nyerere raia hawakuelewi unaongelea nini.South Africa wananchi wa kawaida hawaijui hata Tanzania
Umesahau Medilu hapo mkuuNdio maana Mguu Chemba alisema tukimbilie kule
Uongoo uliokomaaUganda ukishaongea kiswahili tu jua hupati tena ushirikiano wa wenyeji.