Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

Kama nchi tumepoteza,Dar es Salaam ndio ilikua kioo cha Africa nzima kusikiliza tamko kutoka Dar es Salaam, binafsi Zambia 🇿🇲 ya sasa ndio nchi rafiki na ni vema viongozi wetu wawe karibu na hii nchi hasa kibiashara na kiurafiki,DRC tujipange sana tuwavute kibiashara na tukifanikiwa kupata even 30%ya biashara yake tutanufaika sana kama nchi, kwa sasa bado sana DRC anatumia sana Durban, walvis bay na Beira, inabidi bandari yangu ya Dar, tuache politics tufanye kazi
 
Hao jamaa ni kama sisi sio majirani nao!
Zambia?

Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu?

Ni kwa masikitiko makubwa, kwamba kati ya hao wote uliowataja, hakuna rafiki wa kweli, huo ndio ukweli wenyewe.

Lakini ukitaka kulazimisha urafiki basi mpangilio utakuwa hivi kuanzia wa karibu zaidi:

Burundi, Uganda, Zambia, Msumbiji, DRC, Malawi, Kenya, Rwanda na mwisho Zanzibar.
We mzanzibari Zanzibar no mkoa uliochangamka itoe hapo
 
Kama nchi tumepoteza,Dar es Salaam ndio ilikua kioo cha Africa nzima kusikiliza tamko kutoka Dar es Salaam, binafsi Zambia 🇿🇲 ya sasa ndio nchi rafiki na ni vema viongozi wetu wawe karibu na hii nchi hasa kibiashara na kiurafiki,DRC tujipange sana tuwavute kibiashara na tukifanikiwa kupata even 30%ya biashara yake tutanufaika sana kama nchi, kwa sasa bado sana DRC anatumia sana Durban, walvis bay na Beira, inabidi bandari yangu ya Dar, tuache politics tufanye kazi
Lengo la SGR ikikuwa ni kukamata soko la DRC. Ilipianza iliwaumiza sana wakenya. Nashangaa kuona mtu juzi anaenda Kenya na kuingizea chaka kwa mara nyingine.
 
South Africa na Tanzania mpaka leo watafunya vurugu ila kwa mtanzania hakuna.nimeona hata wakenya wanajifanya watanzania na wasomali kule south
 
USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.

Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.

Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
Kwa Tanzania ni waTanzania wenyewe
 
Hao jamaa ni kama sisi sio majirani nao!
Zambia?

Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu?

Ni kwa masikitiko makubwa, kwamba kati ya hao wote uliowataja, hakuna rafiki wa kweli, huo ndio ukweli wenyewe.

Lakini ukitaka kulazimisha urafiki basi mpangilio utakuwa hivi kuanzia wa karibu zaidi:

Burundi, Uganda, Zambia, Msumbiji, DRC, Malawi, Kenya, Rwanda na mwisho Zanzibar.
UPO SAWA, ILA KENYA NI RAFIKI WA MWISHO, ZANZIBAR WANA AFADHALI KULIKO KENYA.
 
Back
Top Bottom