wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tuna salamu kwa watu watatu.Uongoo uliokomaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna salamu kwa watu watatu.Uongoo uliokomaa
Za kwanza zimundee mdogo wako wakikeTuna salamu kwa watu watatu.
Za pili zimuendee Mama ako kipenzi,ujumbe:Asiangalie wembamba wa reli inapita.Za kwanza zimundee mdogo wako wakike
Za pili zimuendee dingi yako; mwambie awe anasha vizuri. Block inakuhusuZa pili zimuendee Mama ako kipenzi,ujumbe:Asiangalie wembamba wa reli inapita.
Za 3 zimuendee babako kipenzi,mwambie namletea ilee lead tube ya kupaka ili puru yake irudishe Ile tightness ya awali.Z
Za pili zimuendee dingi yako; mwambie awe anasha vizuri
kivipi!?Acha uboya wewe,
kumbuka kipindi cha magufuli huyo kenya tulivompeleka puta puta.
Kenya ndo jirani na ndugu yetu wa kweli,tofauti zetu huwa zinaletwa na watawala tu kwasababu watawala wetu kila mtu huja na lakeJapo hakuna rafiki wa kweli kwenye nchi, jirani na rafiki wetu wa kweli ni Kenya. mengine ni bifu za siblings. Burundi tulitaka kuwachapa enzi za Mkapa.
Kwa sasa usahau hilo.Najua nachokwambia, ishu iliyopo sasa ni huo UGAIDI ila Mtz ukifika Msumbiji kwanza kabisa ni free visa maisha yako yote. Uwe na Passport tu basi. Unaishi kwa amani kabisa
Enzi za mwendazake rafiki yetu wa kweli alikua burundi, wengine wote walibaki wanatushangaa tu maana walikua hawatuelewiUSA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.
Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.
Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
Weka hapa hiyo Sheria mpya.Kwa sasa usahau hilo.
Zamani ilikuwa kama unapaspot haina shida lakn kwasasa kama umtanzania na unajishughulisha na biashara lazima uwe na parmit na paspot uwe nayo.
Hujui unalolisema wewe ,, Msumbiji ipi hiyo unayoiongelea wewe ,, watu wameuawa kama kuku na wengine wamekimbizwa bila nguo ...KENYA na MSUMBIJI, hizo nchi ukienda Mtanzania haina noma kabisa yaan unaishi kama kwenu tu.
Sheria wanazo wenyewe ndio wanavyotaka na nakwambia hayo sihadithiwi ni yoyote.Weka hapa hiyo Sheria mpya.
Kha!,Kwamba Zanzibar sio sehemu ya Tanzania?.Hao jamaa ni kama sisi sio majirani nao!
Zambia?
Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu?
Ni kwa masikitiko makubwa, kwamba kati ya hao wote uliowataja, hakuna rafiki wa kweli, huo ndio ukweli wenyewe.
Lakini ukitaka kulazimisha urafiki basi mpangilio utakuwa hivi kuanzia wa karibu zaidi:
Burundi, Uganda, Zambia, Msumbiji, DRC, Malawi, Kenya, Rwanda na mwisho Zanzibar.
Ni kweli kabisa.Watanzania tunapendana sana na BURUNDI. Mtashangaa sio Kenya. Kenya iko kibiashara. Kindugu ni Burundi.
Sijasema hivyo mkuu 'Fall Army Worm', ila yanayofanywa na viongozi nyakati hizi yanaelekea sisi wananchi tuuone huu muungano kuwa kama ni wa nchi moja ndogo sana kuitawala nchi nyingine inayosemekana ni sehemu ya muungano huo, kwa watu wake kuwa na haki zaidi juu ya wenzao kwenye muungano huo huo.Kha!,Kwamba Zanzibar sio sehemu ya Tanzania?.
Kwa hiyo wewe ni mkenya, au siyo?Kila mtu atavutia kwake,kwa sisi jamii tunazotoka mikoa ya Mara,Kilimanjaro na Arusha tutakuambia rafiki wa kweli ni Kenya coz wengi wetu tumechanganya damu na watu wa Kenya.mfano mimi hapa ndugu zangu wengi tu wako Kenya na wameajiriwa na serikali ya Kenya,so mtu kama mimi utaniambia nini kibaya kuhusu Kenya nikakuamini?
Kwa mtazamo wangu naona ni Kenya na Congo kulingana na watu niliokutana nao.USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.
Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.
Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?