February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hao jamaa ni kama sisi sio majirani nao!Congo
Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu?USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.
Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.
Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
Zanzibar ni majirani zetu!!?Hao jama ni kama sisi ni majirani nao!
Zambia?
Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu...
Duh huwezi amini in my mind nilidhani ataanza Kenya kwasababu tanaelewana kiswahili.Hao jama ni kama sisi ni majirani nao!
Zambia?
Hujui kuwa Zambia na DRCongo nao ni majirani zetu...
Arusha hapoUSA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland.
Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana.
Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
Acha uboya wewe,Tunawapenda Burundi kwakuwa tunammudu mmnyonge Ila great powerful rivals tunawakwepa Kenya Rwanda
Katika nchi zote majirani, hakuna nchi tuliyoingiliana nao zaidi kama Burundi. Raia wetu wengi hapa asili yao ni Burundi, na tuliamua sisi wenyewe tuwape uraia huo.Duh huwezi amini in my mind nilidhani ataanza Kenya kwasababu tanaelewana kiswahili.
Burundi? Mbna nlienda Kigoma warundi wengi wanaonewa na kudharauliwa, ukienda kwao unaaheshimika kweli?
Japo hakuna rafiki wa kweli kwenye nchi, jirani na rafiki wetu wa kweli ni Kenya. mengine ni bifu za siblings. Burundi tulitaka kuwachapa enzi za Mkapa.Burundi hapo
Ndio maana Mguu Chemba alisema tukimbilie kuleBurundi hapo
Sahihi kabisaWatanzania tunapendana sana na BURUNDI. Mtashangaa sio Kenya. Kenya iko kibiashara. Kindugu ni Burundi.