Twenty Twenty One
Member
- Nov 25, 2020
- 73
- 170
Kabla hujahoji manufaa ya vyama vya upinzani ungeanza kutoa faida ambayo CCM imeleta kwa nchi tangu uhuru ukilinganisha na muda, kodi na matumizi ya rasilimali za taifa hili kama bahari, misitu, madini, gas n.kNdugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?
Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.
Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?
Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?
Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Kwani wewe ni mtoto mpaka uelezwe Ccm imewafanyia nini watanzania? Umezaliwa nini dogo?Kabla hujahoji manufaa ya vyama vya upinzani ungeanza kutoa faida ambayo CCM imeleta kwa nchi tangu uhuru ukilinganisha na muda, kodi na matumizi ya rasilimali za taifa hili kama bahari, misitu, madini, gas n.k
Kiufupi tu, CCM ndo wamekuwa wanapokea kodi zetu, wanaingia mikataba kwa niaba yetu, wanaomba na kupokea mikopo kwa niaba yetu n.k. Sasa maendeleo waliyoyafanya yanaakisi muda na rasilimali iliyotumika? Jibu ni HAPANA, na hiyo ndo sababu hawastahili kuendelea kuwa madarakani na ndo sababu wananchi waliwakataa 2015 na 2020 FULL STOP
Mazwazwa ya Lumumba ni empty head , tabulalasa , bipolar disorder , IQ below zero yaani jitu halijuwi advantages za multipartism , civics ya form two . Labda bado ni litoto toka 1992 vyama vingi vianzishwe hujui mambo gani yamebadilishwa , yamebadilika , sheria ,sera , mikataba , mahusiano ya kimataifa , sasa hivi Jiwe a.k.a Zanzimana kama vyama vingi havina faida anahangaika nini na kina Halima Mdee a.k.a Delila Wa Tanzania na genge lake ? Tilioni mbili mtazipata bila wapinzani kuwa wajumbe wa LAAC na PAC kichaa sio lazima uvue nguo . Akili za Zanzimana kutenda kabla ya kufikiri .Kabla hujahoji manufaa ya vyama vya upinzani ungeanza kutoa faida ambayo CCM imeleta kwa nchi tangu uhuru ukilinganisha na muda, kodi na matumizi ya rasilimali za taifa hili kama bahari, misitu, madini, gas n.k
Kiufupi tu, CCM ndo wamekuwa wanapokea kodi zetu, wanaingia mikataba kwa niaba yetu, wanaomba na kupokea mikopo kwa niaba yetu n.k. Sasa maendeleo waliyoyafanya yanaakisi muda na rasilimali iliyotumika? Jibu ni HAPANA, na hiyo ndo sababu hawastahili kuendelea kuwa madarakani na ndo sababu wananchi waliwakataa 2015 na 2020 FULL STOP
Chama Chako pelee ndio kimewahi kunufaika nao.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?
Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.
Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?
Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?
Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Wewe ni fala pamoja na maccm wenzako mkiongozwa na mwenyekiti wenuKwani wewe ni mtoto mpaka uelezwe Ccm imewafanyia nini watanzania? Umezaliwa nini dogo?
Haya matusi ya nini kamanda?Wewe ni fala pamoja na maccm wenzako mkiongozwa na mwenyekiti wenu
Zitaje kwa uchache.Mimi ni uvccm, lakini naamini upinzani una faida zake, nyingi tu!
Ndiyo zote kubwa, ikiongozwa na richmond hadi kafulila alifikia kuitwa tumbili, halafu wana CCM walipambana sana kuwalinda wahusika, hadi kuna mbunge wa CCM ambaye Asumpta Mshana alifikia hadi kuwalaumu wanaoungana na wapinzani kuwakaanga wahusika kuwwa siyo wana CCM, inaelekea wana CCM hulindana kwenye ufisadi.
Sasa upinzani utanufsishsje nchi kiuchumi,wakati sio mkusanya Kodi?mwenye Dola ndie adaiwe maendeleo,maana ndie ansyekusanya Kodi,anspokea misaada ya fedha,sera zinazotumika ni zake,Kamanda bandiko wazi mbona haujaibu kama tumenufaika?
Unao uhakika kuwa skendo zote ufisadi ziliibuliwa na wapinzani? Hujui kuwa ni wana CCM ndio waliziibua?
Wewe utajua nini?Yaani watengeneze ufisadi wenyewe halafu waibue hoja wenyewe,tupe mfano wa mwana CCM aliyeibua hoja ya ufisadi
Akili yako ilivyo finyu inaamini kila mtumishi serikalini ni mwanaCCM!Nafasi za kisiasa ndio za makada,lakini nafasi zinazohitaji utaalamu na watu wakaajiriwa sio za kikada!Mfano mtumishi BOT akivujisha siri watu kuchota pesa kama ilivyokuwa kwa EPA haina maana ni CCM ndio imevujisha bali mtanzania mzalendo!Sasa anampa taarifa hizo nani?Kwanini mara nyingi walipewa wapinzani?Wakati mwingine zilivujishwa mitandaoni na wapinzani wakakomaa nazo mpaka zikaleta tija!Kuna wazalendo wapenda nchi hii waliwapa ili waziibue. Kwa hiyo ni Ccm iliwatumia tu akina Dk Slaa.
Hivi ruzuku ya CHADEMA inahusiana vipi na maendeleo ya watanzania na uchumi wqa mwananchi mmoja mmoja ?Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania
Wanapopinga ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka hawajawasaidia watanzania ?Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?
Kiwango cha akili yako kimeishia hapo Kwani Ccm hawawezi kupinga ufisadi?Wanapopinga ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka hawajawasaidia watanzania ?
We unataka wawasaidieje ? Wampe kila mwananchi hela ya kula ?
Shenzi zako
Ukifika mtaa wa kijani sharti ubongo upokelewe getini.Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Mtawala ni CCM (TANU halafu na Afro Shiraz); sasa wewe kuja kuanza na kulaumu upiknzani kwa makoza yenu sijui unashindwaje kutengeneza point hapo? Kweli mnajitoa ubongo.