Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

Tangulini kesi ya mbuzi ikaamuliwa na fisi mlaku.
 
Huu utoto umeandika hapa si bora ungeuandika kupitia ile Id yako mpya ya mwaka huu?
 
Acha unafiki kama hivyo msingetumia maguvu yote kufanya kile tulichoshuhudia
 
Labda kama hujui vizuri historia na kama una ufahamu mdogo kama wa panzi utaweza kubeza kazi za upinzani
  1. Wao ndio wenye mawazo mbadala na ukiangalia mengi yanayotekelezwa na serikali ya ccm yalikuwa mawazo yaliyo asisiwa na upinzani;mfano mzuri ni ujenzi wa kuunganisha barabara za mkoa kwa mkoa. wazo hili liliwahi kutolewa kwa mara ya kwanza na John Cheyo wa UDP upendo;ccm walikataa wakasema jambo hili haliwezekani. Fuatilia vizuri hoja za wabunge wa upinzani mwanzoni mwa miaka ya 1995 na mmoja kati ya waliokataa jambo hili ni Mzee Malecela
  2. Wazo la kujenga daraja la kuunganisha kigamboni lilitolewa na Dr Alec Chemponda ambaye aliwahi kusema mwaka 1990 kwamba kuna haja kujenga daraja kuunganisha eneo hilo ingawa alidhihakiwa sana.
  3. Masuala ya makusanyo ya mapato ya serikali na ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali yamekuwa yakipigiwa kelele na wapinzani kitu kichoifanya seikali ya ccm kuyafanyia kazi
  4. Masuala ya huduma za kijamii;afya mashule ni kati ya mambo ambayo wapinzani waliyazungumzia na kuifanya serikali kuyafanyia kazi na kwa ujumla ni mengi kiasi kwamba huwezi kuyataja yote hapa;angalia hata ubunifu uliofanywa na wapinzani katika halmashauri walizokuwa wakiziongoza
  5. Ni ufahamu tu au upofu unaweza kubeza mambo au mawazo ya vyama vya upinzani;vinginevyo ni masuala ya ushabiki na kujifurahisha kwa kuwabeza kwa kutokujua au kwa makusudi
 
Mngekuwa mnaujua umuhimu wa wapinzani msingefanya yale maigizo yenu kwenye uchaguzi mkuu uliopita, ndio maana naona yote uliyoandika hapa ni utoto mtupu.
Zaidi pia wanaanza kukumbuka madhambi yao wanajidai kuja kwa staili ya kutafuta hurumu.
 
Hata kufutwa kwa kodi ya maendeleo, wapinzani waliliongelea sana hili wakisema ni udhalilishaji kukamata watu mabarabarani kwa kuwadai kodi ya maendeleo; mfano wa wazi ni hotuba za Profesa Lipumba wakati wa kampeni miaka ya nyuma
 
Acha unafiki kama hivyo msingetumia maguvu yote kufanya kile tulichoshuhudia
Simulishuhudia maigizo mlioyatengeneza wenyeweeee?? Ilimpake doa uchaguzi kama mbinu ya kuendeleza uanaharakati wenu, halafu kiki yenu ikawabumia. Baaada ya kuona aibu kubwa ya kugaragazwaa, mka tengeneza kiki nyingine eti mnatishiwa ilimladi mtimukie ugaibuni kukwepa aibu ya kugaragazwaaa.
 
Taifa lilinufaika na upinzani enzi za akina Silaa, Zito, Kafulila nk. Kulikuwa na mabadiliko makubwa bungeni. Tabia ya ndio mzee ilikufa kifo cha mende. Uchu wa madaraka umeangusha upinzani.
 
Pia kumbuka sera ya eiimu bure si ya ccm baii waitoa chadema, yaikuwa mawazo ya chadema, pia imepika viongozi wazuri sasa ccm imewatamani na kuwapa vyeo Dr. Siaa, Profesa Mkumbo, Gekui, Siiinde, Mashinji, na wengi wengi.
 
Huu utoto umeandika hapa si bora ungeuandika kupitia ile Id yako mpya ya mwaka huu?
Nasisitiza, uwezo wako wa kufikiri umedidimia sana hasa baada ya matokeo ya uchaguzi kutoka, tafuta daktari wa masuala ya saikolojia.
 
Pia kumbuka sera ya eiimu bure si ya ccm baii waitoa chadema, yaikuwa mawazo ya chadema, pia imepika viongozi wazuri sasa ccm imewatamani na kuwapa vyeo Dr. Siaa, Profesa Mkumbo, Gekui, Siiinde, Mashinji, na wengi wengi.
Mbona ishu ya elimu bure ilianza kupigiwa chapuo na Nccr mageuzi mwaka 1995, wewe ulikuwa wapi? Na hao waliokuwa Nccr mageuzi walitoka wapi? Sio Ccm?
 
Tumenufaika na chama kile kilichotuletea , EPA, Kagoda,Meremeta, Dowans,Escrow,IPTL,na Richmond ! Hao wapinzani walituchelewesha sana kwanza ndio maana bunge letu ni la kijani kwa sasa!
 
Nasisitiza, uwezo wako wa kufikiri umedidimia sana hasa baada ya matokeo ya uchaguzi kutoka, tafuta daktari wa masuala ya saikolojia.

Narudia tena, huu utoto umeona ni bora uilete na id hii? Ile mpya itafanya kazi gani?
 
Nchi ikiwa na utaratibu mzuri wa kiutawala hata wewe unaweza kuwa raisi. Tatuzo tunamtarajia mtu mmoja awe ni kila kitu.
Vyama vya upinzani ni sauti mbadala, humulika yasiyofa na kuonyenya njia mbadala. Husaidia watawala kujiweka sawa.
Vina watu werevu pia ndo maana wengine wamepewa vyeo mifano ipo. Anna Gwrra, Dr Slaa, Kitila nk.
Vyama vya upinzani vimetoa mchango mkubwa sana na anayetaka vibomoke ni mpumbavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…