Kwanini tumpige kwa faida ya nani? Ili iwe je badaye.Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la ulaya,afrika,Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. [emoji41]
Rwanda apigwe kwa sababu gani?Africa Mashariki tu imeshindwa kuungana kumpiga Rwanda, Waarabu wameshindwa kuungana kuipiga Israel halafu wewe unaota ndoto za dunia nzima.
Sasa sisi Tanzania tutampiga na fimbo au gobore zetu?Hizo nchi zote utakuta nchi 3 au 4 tu. Nyingine zote ni hewa
Sio tutakuwa kama chambo... Tukishakaangwa fighters ndio wataingiaSasa sisi Tanzania tutampiga na fimbo au gobore zetu?
M23 walipo wanacheeka
Niliwahi kuandika hapa kuwa Rwanda ndiyo Israel ya Afrika Mashariki kwa ubabe wa kivita.Africa Mashariki tu imeshindwa kuungana kumpiga Rwanda, Waarabu wameshindwa kuungana kuipiga Israel
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la ulaya,afrika,Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. π
How bold are you on your info hapo kwenye sentensi nyeusi zaidi?Marekani ndio anaongoza kwa teknolojia karibu kwenye kila eneo.
Kumpiga Marekani ni ngumu sana hasa kwa vita za kiteknolojia.
[emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Sasa sisi Tanzania tutampiga na fimbo au gobore zetu?
M23 walipo wanacheeka
Labda tupigane na ubalozi wao yaani walinzi wa balozi nchiniSio tutakuwa kama chambo... Tukishakaangwa fighters ndio wataingia
Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.Unamaanisha vita ya dunia? madhara yake ni makubwa sana kwenye uchumi hivyo sio kitu hata cha kuwazia.
Hata hivyo, Nchi pekee inayo onekana kuwa tishio kwa Marekani ni China pekee kwa sababu ukuaji wake wa uchumi na technologia ni wakasi sana hivyo Marekani inawasiwasi ya kitakachotokea miaka ijayo...kama wachina hawatapunguzwa kasi....
Wachina tayari wana zalisha Internet yao (huwezi kuwadukua kwa urahisi), tayari wana software operating system yao, ndege za kisasa na hatari sana za kivita kama Chengdu J-20; Stealth Air J-36. Wanakitengo kikubwa kabisa duniani cha Innovations ambapo wasomi wakubwa wa sayansi wanafadhiliwa na serikali ili wagundue technologia mpya nk nk