unaijua Stealth Air J-36 na Chengdu J-20?Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
kwani marekani ana miguu??Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
Hypothetically speaking, Yes.Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
So sad unafikiria Kama ngombe .kumpiga mmarekani. kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
Ila Nchi zote haziezi ungana Kamwe Sababu Ya Capitalist system Kila Mtuu Hataki Hasara Ila Kama Communism ikarudia Tena Hapo ndipo tunaeza kuwaza Kuhusu KuunganaKama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
AMERICANs akusaidieee???? labda vidonge vya ukimwi na chanjo... Americans Ndio wezi wakui hi DUNIA kila Bara Labda AFRIKA tu Ndo halijui Hilo Ila Americans sio wakuhaminika Akikusaidia Unampa Kitu tena sio unachotaka kumpa ANACHOTAKA kuchukua Ndo UNAMPA.... HATUEZI GOMBANANAE sababu Akidai Deni lake, Tutapoteana ApaMarekani hatuwezi kupambana nae kama Africa, Ametusaidia mno. Akomae na njemba wenzie kina russia na wachina.
Mkuu China Anategemea Wapi?? Bro fwatilia Tena Vizuri China Ndio mwenye Tech sio Russia... tech ya nini Russia Anayo????Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
usichukulie juu juu angalia Stock Markets vinavyokwenda nani anapata Hasara kama Sio Americans don't underestimate Taifa la China Hakuna Jeshi Kubwa na lenye vifaa vya Tech kama China Hakuna... Hii Trade War inayotokea baina Ya China na Marekani Taarifa zisifiche ukweli unaonekana kwenye Stocks Tesla haingizi magari yake Tena China na angali alikua analo soko zuri china sasa apo nani anapata HasaraKama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
I got youusichukulie juu juu angalia Stock Markets vinavyokwenda nani anapata Hasara kama Sio Americans don't underestimate Taifa la China Hakuna Jeshi Kubwa na lenye vifaa vya Tech kama China Hakuna... Hii Trade War inayotokea baina Ya China na Marekani Taarifa zisifiche ukweli unaonekana kwenye Stocks Tesla haingizi magari yake Tena China na angali alikua analo soko zuri china sasa apo nani anapata Hasara
umekunywa nini bwanamdogoKama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎