Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

Mchina kijeshi anategemea tech ya Russia. Lakini Russia ni hatari sana na ndio inazipa hofu nchi za magharibi kijeshi.
Katika haya mataifa matatu makubwa U.S.A,China,Russia hakuna anaye tegemea teknolojia ya mwengine katika kujilinda.
 

 
Tatizo Marekani ndie nchi zote. Marekani imetengenezwa na raia wa nchi zote na wengi wao ni wale matajiri, wasomi, wexi matapeli, wachungaji nknk kila kitu kinahamia pale
 
Tatizo Marekani ndie nchi zote. Marekani imetengenezwa na raia wa nchi zote na wengi wao ni wale matajiri, wasomi, wexi matapeli, wachungaji nknk kila kitu kinahamia pale
Upo sahihi sana. Hichi unachokisema hapa ni moja ya sababu kwanini league of Nation ilipoundwa mwaka 1919,marekani haikujiunga..
 
Amefanyiwa nini mchina,
Nyie mmeshindwa kuungana kumtoa ccm madarakani ndio zitaweza nchi kuungana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…