Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

Mmeshindwa kuungana kuipiga CCM, Sasa dunia gani hiyo unaongelea?
 
Hujui ulichoandika. Kwenye technology Russia yuko mbali sana. Russia ni nchi iliyowekeza kwenye zana za kivita na ina viwanda vingi na vikubwa vya kutengeneza silaha kuliko China.

Isingekuwa vikwazo vya Marekani anavyowapiga washirika wake wasifanye biashara na Russia, Ulaya ingetapakaa zana za kijeshi za Russia kama ndege vita, mifumo ya ulinzi ya anga, makombora, vifaru nk. Usidanganywe na propaganda za magharibi. Ulaya tu ina hofu kwamba baada ya Ukraine kuna nchi zinaenda kuvamiwa na Russia. Ndio ujiulize huo ujasiri wanaupata wapi.

Russia hainunui silaha popote duniani kwa matumizi ya jeshi lake. Russia hainunui mdege vita China lakini China inanunua ndege vita Russia. China inanunua mifumo ya ulinzi wa anga toka Russia kama S400 na injini za ndege na inasaidiwa na Russia kuunda nyambizi. Bado unailinganisha China kwa Russia!


 
Walikuwepo miamba enzi hizo,lkn walianguka mfano Rumi empire na wengine wengi,kwa hiyo na ye ataanguka mda ukitimu,wala hakuna sababu ya kumpiga.
 
Kifupi ni kwamba wote wanategeana
 
Katika haya mataifa matatu makubwa U.S.A,China,Russia hakuna anaye tegemea teknolojia ya mwengine katika kujilinda.
Lkn hivi ilikuwaje Russia kutegemea drones za Iran? Au alikuwa ameishiwa stock??
 
Hivi nyie mnazijua manati zinazotumia risasi aina ya mbulunga? Ukiweka usafiri wa NGONGONGO marekani lazima akimbie
 
Nina ukakika RWANDA hawezi simama battle na TZ,
Kikundi kidogo tu cha M23 (ni cha Kagame) kila wakati kinadedisha JWTZ.

JK akiwa rais 2014 aliipigwa mkwara na Kagame hadharani kuwa nitakushughullikia. J K akaufyata.
 
Mjomba marekani ina military base kila pembe ya dunia kuipiga ni shughuli pevu hata mataifa yote ya dunia yaungane ni mziki mnene kuinyuka
 
Mjomba marekani ina military base kila pembe ya dunia kuipiga ni shughuli pevu hata mataifa yote ya dunia yaungane ni mziki mnene kuinyuka
Nakubaliana nawe
 


Ujinga tunao wote. Ila wa kwako ni promax 😁😁😁😁😁
Ila atapigwa Sana.
 
Yaani chuki tu na wivu tuamue tumuondoe kuwa superpower duniani
 
Acha propaganda za Udini dogo, dili na umaskini wa Nyumbani kwenu. Kwanza una kitambulisho Cha NIDA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…