Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

Hahahaha, mumepatikana na upikaji wenu wa GDP, mbona kwenye GDP za nchi zingine zote ikiwemo Tanzania hesabu zinakubali isipokua Kenya pekee. Hahahaha, Leo ukweli umejjlikana wapenda sifa wameaibika. Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Failed state ninyi.
Dogo unajidhalilisha, what's the formula for calculating GDP?
Uchumi ya kenya kwakweli inataka elimu yake personal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

2014 mlikuwa $61bln mmepanda kwa rate ipi kufikia $99bln within 5 yrs????.

$38bln [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boya mwingine katika ubora wake.
 
Leta takwimu
View attachment 1232152Hii ni JF, ukileta habari za uongo tunaumbua!
Man mbona ya Tz umeificha haionekani???

Kenya Unemployment Rate
1991 - 2018 | Yearly | % | World Bank

Kenya's Unemployment Rate increased to 9.31 % in Dec 2018, from the previously reported number of 9.29 % in Dec 2017. Kenya's Unemployment Rate is updated yearly, available from Dec 1991 to Dec 2018, with an average rate of 9.68 %. The data reached an all-time high of 10.10 % in Dec 2003 and a record low of 8.90 % in Dec 1991. The data is reported by reported by World Bank.
In the latest reports, Kenya's Population reached 47.80 million people in Dec 2018. Monthly Earnings of Kenya stood at 591.84 USD in Jun 2018. The country's Labour Force Participation Rate dropped to 66.30 % in Dec 2018.

Tanzania: Unemployment rate
(measure: percent; Source: The World Bank)
from: to: Download as:
JPG
Download data API Tanzania: Unemployment rate: For that indicator, The World Bank provides data for Tanzania from 1991 to 2018. The average value for Tanzania during that period was 3.03 percent with a minumum of 1.93 percent in 2018 and a maximum of 3.61 percent in 1995. See the global rankings for that indicator or use the country comparator to compare trends over time.

Hapo vipi kaka??
 
Heheeee!!tatizo waliozipiga hzo hesabu, hyo 7% hawaitambui
Halafu ujue huwez linganisha 5% ya billion na 10% ya million
Pole sana ila uchumi wetu ulikua 47bl broh 2014 na mwaka 2018 jana 57 bl na mwaka huu 2019 ni 63bl expected to be 64 bl. Nyie uchumi wenu ni 73bl expected to 78bl. Huo wakupika kufika 99bl sjui 100bl kwa 5% rate mjidanganye wenyew
 
Uchumi ya kenya kwakweli inataka elimu yake personal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
2014 mlikuwa $61bln mmepanda kwa rate ipi kufikia $99bln within 5 yrs????.
$38bln [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ask those who calculated it. We' unadhani GDP calculation ni kama 2+0 hesabu za hapo St kanumba
 
Man mbona ya Tz umeificha haionekani???

Kenya Unemployment Rate
1991 - 2018 | Yearly | % | World Bank

Kenya's Unemployment Rate increased to 9.31 % in Dec 2018, from the previously reported number of 9.29 % in Dec 2017. Kenya's Unemployment Rate is updated yearly, available from Dec 1991 to Dec 2018, with an average rate of 9.68 %. The data reached an all-time high of 10.10 % in Dec 2003 and a record low of 8.90 % in Dec 1991. The data is reported by reported by World Bank.
In the latest reports, Kenya's Population reached 47.80 million people in Dec 2018. Monthly Earnings of Kenya stood at 591.84 USD in Jun 2018. The country's Labour Force Participation Rate dropped to 66.30 % in Dec 2018.

Tanzania: Unemployment rate
(measure: percent; Source: The World Bank)
from: to: Download as:
JPG
Download data API Tanzania: Unemployment rate: For that indicator, The World Bank provides data for Tanzania from 1991 to 2018. The average value for Tanzania during that period was 3.03 percent with a minumum of 1.93 percent in 2018 and a maximum of 3.61 percent in 1995. See the global rankings for that indicator or use the country comparator to compare trends over time.

Hapo vipi kaka??
Mbona tu ipo hapo Mkuu, baada ya Kenya inayofuata si Tz?
Mwenzako kasema tunaongoza Afrika nzima kwa "Unemployment Rate" ilibidi nimweke sawa.
 
Pole sana ila uchumi wetu ulikua 47bl broh 2014 na mwaka 2018 jana 57 bl na mwaka huu 2019 ni 63bl expected to be 64 bl. Nyie uchumi wenu ni 73bl expected to 78bl. Huo wakupika kufika 99bl sjui 100bl kwa 5% rate mjidanganye wenyew
Mkuu kwani hesabu za GDP hufanywa vipi? Naona unafuata tu makosa sawa na Wenzako.
 
Lakn unemployment rate yenu kubwa kwa hapa East Africa.
Mbona tu ipo hapo Mkuu, baada ya Kenya inayofuata si Tz?
Mwenzako kasema tunaongoza Afrika nzima kwa "Unemployment Rate" ilibidi nimweke sawa.
 
Unaifahamu Formula au la?
Hahahaha, mwapika data na kujipakulia, nchi zote zingine hesabu zinaenda sawa na kukubali, ikifika Kenya "Formulae" inakataa, tena inakataa kuanzia mwaka 2015 hadi 2018, lakini kuanzia 2015 kurudi nyuma hiyo formulae inakubali. Ninyi ni watu wa kupenda sifa sana, ndio sababu nchi yenu inazidi kupata matatizo.
 
Mbona katika nchi zingine zote duniani hiyo "Formulae " zinakubali?, hata Kenya kuanzia 2015 kurudi nyuma hiyo formulae inakubali,,lakini kuanzia 2015, 2016 hadi 2018 ndio mlipoanza kupika data
Ask those who calculated it. We' unadhani GDP calculation ni kama 2+0 hesabu za hapo St kanumba
 
Hahahaha, mwapika data na kujipakulia, nchi zote zingine hesabu zinaenda sawa na kukubali, ikifika Kenya "Formulae" inakataa, tena inakataa kuanzia mwaka 2015 hadi 2018, lakini kuanzia 2015 kurudi nyuma hiyo formulae inakubali. Ninyi ni watu wa kupenda sifa sana, ndio sababu nchi yenu inazidi kupata matatizo.
Screenshot_2019-10-13-21-25-16.png
Kwa haraka tu nikulete nyumbani hapo, piga hesabu zako za Mama Ntilie uniambie ikiwa pia Tz yapika data?
 
Mbona katika nchi zingine zote duniani hiyo "Formulae " zinakubali?, hata Kenya kuanzia 2015 kurudi nyuma hiyo formulae inakubali,,lakini kuanzia 2015, 2016 hadi 2018 ndio mlipoanza kupika data
Show me how you calculated.
BTW, what's the difference between real and nominal GDP & why do many economists use real GDP to determine the growth of an economy?
 
Back
Top Bottom