HUU ni upumbafu,pamoja na kwamba elimu yangu haitokani na vyuo tajwa. chuo si kigezo cha akili ya mtu wala mtihani haujawahi kuwa kipimo sahihi cha akili,wapo walioonekana wana akili shule ya msingi wakachaguliwa mzumbe,tabora boys,iliboru,kibaha na wale wenye akili kidogo kwa sababu ya marks zao wakapeelekwa st kayumba,form 4 hata mzumbe tabora na kibaha wengine kati ya hao wenye akili wanafeli huku walioonekana hawajui ama hawana sifa wanachanja mbuga, form five wanaoitwa wenye sifa wanaenda shule za serikali na wasio na akili wale wakureseat wanajitafutia private,cha ajabu kwenye matokeo yanayotokana na mtihani mmoja wa taifa unakuta wale wa kureseat wamechanja mbuga kuliko wale walioonekana wana akili, nakuambia leo kuna watu wanasoma UD ama MZUMBE ama SUA lakini pia wana uwezo mdogo ukilinanisha na hao unaowasema ni wa vyuo vya kata, na ninakuapia kama kungekuwa na mtihani wa kitaifa wa chuo kikuu kungekuwa na wanafunzi bora wanatokea kwenye hivyo vyuo vya kata, lakini leo unadhani kuwa wote wanaosoma huko ni mbulula<br><br>,PIA MATOKEO KAMA YANGEKUWA NDIO KIPIMO CHA AKILI BASI AKINA STIVE JOBS WASINGEFANYA LOLOTE, TUNATAKA WATU WAJIDAI KWA MAFANIKIO YA TAALUMA ZAO NA SI KWA VYUO WANAVYOTOKA, watu hawagundui chochote wamebaki kujisifia kusoma UD ama mzumbe ama kwingineko kokote, ni ushenzi tu,