Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Nyie bishaneni wee! Mwisho wa siku kazini mshahara haujali chuo gani ulisoma..
 
mtoa mada naomba uniambie n engineer gan wa ud au huko mzumbe au sua aliegundua ktu hapa dunian mpaka uviite n vyuo bora than others..?wapo tu wanatumikia.vya wenzao.kama wao hawajasoma.shwain.
team vyuo vya kata hapa
Wafuatao ni products za UD. 1. Kawambwa 2. Pinda 3. Kapuya 4. Ngasongwa 6. Mwigulu .. Naomba ongeza hapo
 
Nyie bishaneni wee! Mwisho wa siku kazini mshahara haujali chuo gani ulisoma..

Ha ha ha ha ha ha ha,unajua kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri,kujenga hoja na kung'amua ukweli alafu wanataka wapate heshima kwa vyuo walivyosoma badala ya kupata heshima kwa mafanikio ya kazi zao,
sewezi kuwaacha watu kama hao watambe watakavyo,lazima niwatoe tongotongo na kama wana huo uwezo kwa sababu ya vyuo vyao basi wachanganue kama ninavyowachanganulia na nitajibu kila kitu bila kukwepa hata kimoja mpaka waelewe.

umenichekesha uliposema mshahara ni ule ule,ukanikumbusha sababu iliyonifanya kukataa kusomea ualimu baada ya kubaini mshahara wa mwalimu haujalishi kama ni science ama arts,nikaapa kutosoma ualimu maana mimi niliteseka sana kumeza misomo ya sayansi alafu wale waliokuwa wanasoma kwa kuchekelea tupate nao mshara uleule,nikasema ni bora kwa mtu aliye na ndoto za kuwa mwalimu wala asijisumbue kusoma masomo magumu akachukue tu HKL tena hata tabu hapati
 
Wafuatao ni products za UD. 1. Kawambwa 2. Pinda 3. Kapuya 4. Ngasongwa 6. Mwigulu .. Naomba ongeza hapo
na mkulu umemsahau,mkubwa wa li nchi,nadhani uwezo wake kwa sababu ya chuo chake alichosoma unaonekana.
 

UMEWEKA TOPIKI NA KUKIMBIA,kwa hiyo huna uwezo wa kuitetea?njoo huku uitetee maana sisi wa shule za vitongoji tunajibu tuuuuuuuuuuuuuuu huku mwenye topiki kaikimbia,sasa ndio tuseme huna uwezo kabisa wa kutetea topiki yako pamoja na kwamba wewe haukusoma shule za kata?????????????
 
Huo ndio ukweli soma ukijua vyuo hivyo vinachukua reject za vyuo vizuri nchini
wewe upo nchi gani?????? ndo walewale mnakuja hapa kujitapa kuwa mmesoma vyuo vizuri lakini hamuelewi kitu,yaani kichwani ni weupe.

unasemaje?vyuo hivyo vinachukua reject?yaani makapi?

ngoja nikuonyeshe ulivyo na uelewa mdogo sana pamoja na kujisifia kuwa umetoka chuo kizuri huku ukiwa hujui ama huna maarifa kichwani pamoja na hicho chuo ulichosoma.

1.miaka ya nyuma kulikuwa na chuo kikuu kimoja cha udsm.
wanafunzi wote waliokuwa wanamaliza kidato cha sita ama diploma na kufaulu walipaswa kufanya mtihani ili kujiunga na UDSM, paper ile iliitwa marticulation ,hapo ukifaulu paper ndo unachaguliwa bila kujali una matokeo mazuri kiasi gani,wapo waliokuwa na matokeo mazuri lakini paper ziliwaona wakaachwa kuchaguliwa. HAPO REJECTS HAKUNA MANA VYUO HIVI HAVIKUWEPO NA WALIOKOSA WALIJARIBU TENA MWAKA ULIOFATA.

2.baadae utaratibu wa kujiunga vyuo kwa mtihani ukaondolewa,ikawa mtu unajaza tu form za vyuo unavyovitaka,na unaweza kujikuta unachaguliwa na vyuo hata vinne,ilijulikana kama MULTIPLE ADMISSION yaani umechaguliwa na vyuo vingi,kilichokuwa kinatokea,mwanafunzi akichaguliwa na vyuo vingi anaamua mwenyewe aende chuo kipi,na mimi nakumbuka hata niliona watu wengi walichaguliwa UDSM na UDOM lakini hawakwenda huko wakaamua kwenda vyuo vingine mnavyovizarau,HAPA REJECTS ZA UDSM ZIKO WAPI?ni lini vyuo vya private vimepata kusubiri kwanza udsm ichague kwanza alafu wanaoachwa amaa wanaobaki ndio wadahiliwe kwenye hivi vyuo vya kata kama rejects?

kimsingi hakuna kitu kama hicho,maana mfumo wa kudahili wanafunzi chuo kikuu una nafasi sawa kwa vyuo vyote tofauti na sekondari ambapo wanafunzi wengi wa private ni rejects za shule za serikali,ili nieleweke,ni kwamba VYUO VYA PRIVATE HUWA HAVISUBIRI KUCHAGUA WANAFUNZI WALIOACHWA NA UDSM NDIO VIANZE KUDAHILI, VYUO VYOTE VINADAHILI KWA MUDA USIOTOFAUTIANA SANA TENA NI AJABU KUWA KUNA VYUO VINGINE VYA PRIVATE VILIKUWA VINAWAHI KUTOA MAJINA YA WANAFUNZI KABLA YA UDSM HAIJATOA.sasa utasemaje vimechukua wanafunzi walioachwa na UDSM wakati ukute wao ndo walianza kudahili?

sema majibu yenu yanasaidia wasomaji kuelewa kuwa tatizo sio chuo bali ni mtu mwenyewe,sasa kama wewe una uelewa mdogo hivi alafu hujui yote haya unataka tukupe sifa kwa sababu umesoma udsm huku kichwani ni mweupe?maana una elimu ya kukariri.

3.baadae TCU wakaja na mfumo mpya wa Online admission,hapa wanafunzi wa vyuo vyote wakawa wanadahiliwa na TCU kwa system ya TCU ambapo sina uhakika pia kama unajua system ile inavyofanya kazi,ila kifupi ni kwamba HATA KATIKA MFUMO HUU HAKUNA CHUO KINACHUKUA MAKAPI YA UDSM,wanafunzi wenyewe ndio wanachagua vyuo na si ajabu kuwa wapo wengine ambao huwa hawaichagui kabisa udsm hata kwenye nafasi ya mwisho pamoja na kwamba wamefaulu.HAPA MAKAPI YA UDSM YAKO WAPI?nakungojea uje kujibu kwa hoja za ki-udsm mana mimi wa chuo cha mtaa nimeshatoa majibu yangu
 
Unakuta chuo kama SAUT LL,B wanachukua mpaka iii.17 jamani huu ni ujinga mtupu halafu eti unakuta ana G.P.A ya 4.5 duh hii ni hatari chunguzeni wengi wenye three chafu wapo saut,university of arusha,ruco,,mwenge,teku huko ndo wamejaa
 

Hebu ondoa MUCCoBS haraka sana katika orodha yako
 
Unakuta chuo kama SAUT LL,B wanachukua mpaka iii.17 jamani huu ni ujinga mtupu halafu eti unakuta ana G.P.A ya 4.5 duh hii ni hatari chunguzeni wengi wenye three chafu wapo saut,university of arusha,ruco,,mwenge,teku huko ndo wamejaa

mwenye three ya 17 naye anasifa na uwezo wa kusoma LLB
 
Tunapima quality of product sio product! Ukitaka kumjua mshamba, J forum ameijua Dec 2013!
 
Elewa mada wewe! Kuwa boss sio ukosawa kichwani na kama ulipigwa 0713--- au ulivua chupi tunajuaje? Tunaongelea real competency ya kudeliver.
Unasema umesoma chuo bora??!!!Hebu rudia kusoma uliyoandika!!
 
Kwa utafiti upi uliofanya? hata huwe na ujasiri wa kuongea huo upuuzi.
 

Bora umemuelewesha huyo kiumbe maana nna shaka na taaluma yake.
 
Duh, wazazi wako wamepata hasara. Nahisi wanajuta kukuzaa maana una akili za kuku
 
Dah! mbona watu wana-react sana jaribuni kumsaidia mwenzetu hayo ni maoni yake yawezekana ni kweli au co kweli.
 

it is not my fault to tell you the truth. but you have to understand that always the truth cant be changed. the truth is you're rotten mothercunt. Bitch*s like you who use to count numbers of p3nis so as to think critically, are always commenting foolish especially when they miss p3nis for atleast two hours. you have to cut the donkey's p3nis and insert into your a8shole then glue it permanently so as it wont go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…