Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Nyie bishaneni wee! Mwisho wa siku kazini mshahara haujali chuo gani ulisoma..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafuatao ni products za UD. 1. Kawambwa 2. Pinda 3. Kapuya 4. Ngasongwa 6. Mwigulu .. Naomba ongeza hapomtoa mada naomba uniambie n engineer gan wa ud au huko mzumbe au sua aliegundua ktu hapa dunian mpaka uviite n vyuo bora than others..?wapo tu wanatumikia.vya wenzao.kama wao hawajasoma.shwain.
team vyuo vya kata hapa
Nyie bishaneni wee! Mwisho wa siku kazini mshahara haujali chuo gani ulisoma..
na mkulu umemsahau,mkubwa wa li nchi,nadhani uwezo wake kwa sababu ya chuo chake alichosoma unaonekana.Wafuatao ni products za UD. 1. Kawambwa 2. Pinda 3. Kapuya 4. Ngasongwa 6. Mwigulu .. Naomba ongeza hapo
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Ukweli unauma jamani
wewe upo nchi gani?????? ndo walewale mnakuja hapa kujitapa kuwa mmesoma vyuo vizuri lakini hamuelewi kitu,yaani kichwani ni weupe.Huo ndio ukweli soma ukijua vyuo hivyo vinachukua reject za vyuo vizuri nchini
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Unakuta chuo kama SAUT LL,B wanachukua mpaka iii.17 jamani huu ni ujinga mtupu halafu eti unakuta ana G.P.A ya 4.5 duh hii ni hatari chunguzeni wengi wenye three chafu wapo saut,university of arusha,ruco,,mwenge,teku huko ndo wamejaa
Unasema umesoma chuo bora??!!!Hebu rudia kusoma uliyoandika!!Elewa mada wewe! Kuwa boss sio ukosawa kichwani na kama ulipigwa 0713--- au ulivua chupi tunajuaje? Tunaongelea real competency ya kudeliver.
wewe upo nchi gani?????? ndo walewale mnakuja hapa kujitapa kuwa mmesoma vyuo vizuri lakini hamuelewi kitu,yaani kichwani ni weupe.
unasemaje?vyuo hivyo vinachukua reject?yaani makapi?
ngoja nikuonyeshe ulivyo na uelewa mdogo sana pamoja na kujisifia kuwa umetoka chuo kizuri huku ukiwa hujui ama huna maarifa kichwani pamoja na hicho chuo ulichosoma.
1.miaka ya nyuma kulikuwa na chuo kikuu kimoja cha udsm.
wanafunzi wote waliokuwa wanamaliza kidato cha sita ama diploma na kufaulu walipaswa kufanya mtihani ili kujiunga na UDSM, paper ile iliitwa marticulation ,hapo ukifaulu paper ndo unachaguliwa bila kujali una matokeo mazuri kiasi gani,wapo waliokuwa na matokeo mazuri lakini paper ziliwaona wakaachwa kuchaguliwa. HAPO REJECTS HAKUNA MANA VYUO HIVI HAVIKUWEPO NA WALIOKOSA WALIJARIBU TENA MWAKA ULIOFATA.
2.baadae utaratibu wa kujiunga vyuo kwa mtihani ukaondolewa,ikawa mtu unajaza tu form za vyuo unavyovitaka,na unaweza kujikuta unachaguliwa na vyuo hata vinne,ilijulikana kama MULTIPLE ADMISSION yaani umechaguliwa na vyuo vingi,kilichokuwa kinatokea,mwanafunzi akichaguliwa na vyuo vingi anaamua mwenyewe aende chuo kipi,na mimi nakumbuka hata niliona watu wengi walichaguliwa UDSM na UDOM lakini hawakwenda huko wakaamua kwenda vyuo vingine mnavyovizarau,HAPA REJECTS ZA UDSM ZIKO WAPI?ni lini vyuo vya private vimepata kusubiri kwanza udsm ichague kwanza alafu wanaoachwa amaa wanaobaki ndio wadahiliwe kwenye hivi vyuo vya kata kama rejects?
kimsingi hakuna kitu kama hicho,maana mfumo wa kudahili wanafunzi chuo kikuu una nafasi sawa kwa vyuo vyote tofauti na sekondari ambapo wanafunzi wengi wa private ni rejects za shule za serikali,ili nieleweke,ni kwamba VYUO VYA PRIVATE HUWA HAVISUBIRI KUCHAGUA WANAFUNZI WALIOACHWA NA UDSM NDIO VIANZE KUDAHILI, VYUO VYOTE VINADAHILI KWA MUDA USIOTOFAUTIANA SANA TENA NI AJABU KUWA KUNA VYUO VINGINE VYA PRIVATE VILIKUWA VINAWAHI KUTOA MAJINA YA WANAFUNZI KABLA YA UDSM HAIJATOA.sasa utasemaje vimechukua wanafunzi walioachwa na UDSM wakati ukute wao ndo walianza kudahili?
sema majibu yenu yanasaidia wasomaji kuelewa kuwa tatizo sio chuo bali ni mtu mwenyewe,sasa kama wewe una uelewa mdogo hivi alafu hujui yote haya unataka tukupe sifa kwa sababu umesoma udsm huku kichwani ni mweupe?maana una elimu ya kukariri.
3.baadae TCU wakaja na mfumo mpya wa Online admission,hapa wanafunzi wa vyuo vyote wakawa wanadahiliwa na TCU kwa system ya TCU ambapo sina uhakika pia kama unajua system ile inavyofanya kazi,ila kifupi ni kwamba HATA KATIKA MFUMO HUU HAKUNA CHUO KINACHUKUA MAKAPI YA UDSM,wanafunzi wenyewe ndio wanachagua vyuo na si ajabu kuwa wapo wengine ambao huwa hawaichagui kabisa udsm hata kwenye nafasi ya mwisho pamoja na kwamba wamefaulu.HAPA MAKAPI YA UDSM YAKO WAPI?nakungojea uje kujibu kwa hoja za ki-udsm mana mimi wa chuo cha mtaa nimeshatoa majibu yangu
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni