Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

Any queseni? Aibu sana hii aisee! Yaani Makune ndiye kaenda kutudhalilisha namna hiyo wana Shinyanga? Eti chagueni embe dodo! CCM hawako serious!
Jamani natengua kauli yangu! Kama nilikatukana haka ka embe dodo kutoka Shinyanga naomba kanisamehe bure. Ila na sisi wa mitandao nyoko zetu, tuache umaandazi, yaani tunaleta vipande vipande ili kudhalilisha watu bure! Kumbe kalimwaga point hivi kwenye kujieleza? Kaembe dodo kapewe kura haka! Watu tusikilize!
 
Attachments

  • VID-20240905-WA0015.mp4
    15.4 MB
Jamani natengua kauli yangu! Kama nilikatukana haka ka embe dodo kutoka Shinyanga naomba kanisamehe bure. Ila na sisi wa mitandao nyoko zetu, tuache umaandazi, yaani tunaleta vipande vipande ili kudhalilisha watu bure! Kumbe kalimwaga point hivi kwenye kujieleza? Kaembe dodo kapewe kura haka! Watu tusikilize!
Embe dodo lipo vizuri
Huyu kumbe ndio alienda kupambana na toto za kivenezuela na colombia kwenye Umiss mwaka jana doh
 
Back
Top Bottom