Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

It has a sense of logic. Umeiweka kiasi kwamba hata wale wajinga wa Lumumba wanaotumika kama condoms wamekuelewa.

Mtu yoyote aliyesoma programming hata kama ni level ya Diploma anakuelewa vizuri sana hata kama siyo mzoefu wa kupiga codes (programmer). Kwa wale wenzangu wanaojua kupiga codes (Programmers) huitaji hata kuwapa maelezo marefu hivi.

Ongeza na hii.

CCM wana database yenye majina ya wanachama wao. Kila Jina lina namba ya mpiga kura, na namba ya NIDA. Information zingine ambazo wanakuwa nazo ni jimbo, kata na mtaa. Hizo information unazipata kwenye database ya CCM.

Ndiyo maana ukifika uchaguzi baada ya tume kumaliza zoezi la uandikishaji wapiga kura kila mjumbe anaagizwa kuorodhesha majina ya wanachama, na namba ya NIDA na mpiga kura ili waweze ku-update taarifa kwenye mfumo wa CCM. Wanahakiki taarifa zao kabla ya siku ya uchaguzi.

Mfumo wa Tume uko integrated na mifumo ya NIDA na CCM kwa lengo la ku fetch data. Mfumo wa CCM unabadirishana data na mfumo wa Tume. Ila mfumo wa Tume unachukua (fetch) tu Data za NIDA, kwa lugha rahisi mfumo wa NIDA hauchukui Data kutoka kwenye mfumo wa Tume. Ila wa CCM na Tume zinabadilishana data. Tume wana uwezo wa ku pull data kutoka mfumo wa CCM na mfumo wa CCM una uwezo wa ku pull data kutoka mfumo wa Tume. Mifuno inabadirishana data. Nadhani hapo nimeeleweka vizuri.

Jambo lingine ni kwamba wale wataalam wa mfumo wa Tume ndio hao hao wanao manage mfumo wa CCM. Na hawa wote ni makada watiifu wa CCM, siyo makada tu bali wana viapo vya usalama wa taifa. Mimi namfahamu mmoja wao.

Ukiwaona CCM wanatamba na hawana wasiwasi ni sababu ya lile DUDE. Limewapa assurance ya ushindi wanaotaka wao. Campaign tray huwa inawapa picha ya kura ngapi feki ziwekwe jimbo husika.

CCM na Tume ni zaidi ya wahuni.
Du hatari sana. Ndo maana mpaka.sasa NIDA. NEC na CCM wanapuyanga kumjibu HP
 
Du! Aiseeeeeee! Ndo maana hawataki simu wala camera maana unaweza piga picha majina ukakuta jina na namba uliloliona Kisiju-Mkuranga - Pwani ni la mkazi wa Namanyere - Rukwa..

Tatizo hivi vyama vinaendelea na Uchaguzi ni mama na wanawe,,,, kwasababu kama vyama wanapewa majina ya Wapiga Kura kulingana na eneo husika mnaweza kufanya ka-research kadogo kuona kama majina yale ni wakazi wa pale yalipoandikwa...
Hata wangehakiki jina kwa jina mchezo unavyochezwa kwenye majumuisho ni hatari sana. Ndiyo maana mwaka huu Tume wamepanua goli yaani pool ya kura feki mwaka huu ni kubwa mno. Msifikiri ni wajinga kuwaambia kuwa wapiga kura wako zaidi ya 37M. Wapiga kura halisi hawafiki hata 26M. Hivyo wana pool ya kura feki zaidi ya 10M plus watu ambao hawataenda kupiga kura.

Narudia tena CCM inaweza kutawala zaidi ya 200yrs bila bila Dude la kuchakachulia kubomolewa.
 
Du hatari sana. Ndo maana mpaka.sasa NIDA. NEC na CCM wanapuyanga kumjibu HP
Hawawezi kujibu hoja ya Polepole kuwa "Ufanywe ukaguzi huru na wataalamu huru kwenye mfumo kuthibitisha anayoyasema" hutasikia kamwe wanasema tuko tayari mfumo ukaguliwe na wadau wa uchaguzi wakiongozwa na wataalam wazuri wa "Penetration Test".
 
Imeandikwa na Dr Calipso, X

HII INAFANYIKAJE
  • . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa.

  • Mfano waliojiandikisha kihalali tusemeni watu million 11, ila tume imereport watu million 37sasa kumbuka watu hawa million 37 tume haijawahi kuwaweka wazi, sasa tume ina filter NIDA data kwa kuintergrate query mbili ya tume ya hawa million 11 na ya NIDA ambayo ni Zaidi ya million 18 regardless their status registration to vote.

  • So wakisha intergrate hawa 11million wanakuwa filtered out kule kwenye excel ya NIDA so wanabaki tuseme 37 million total number of adults over 18 years toa million 11 unabaki na million 26 adults ambao hawa hawajajiandikisha popote.

  • Inachukuliwa excel kutoka NIDA ya watu million 26 ambao hawajajiandikisha kisha wanaingizwa kwenye daftari la wapiga kura na kuandikishwa na label maalumu, yaani hawa million 26 wanakuwa na color code maalumu wasijichanganye na wale halali million 11maana hawa ni fake.

  • Inafanyika kazi maalumu ya kuwagawa hawa fake million 26 katika kata zote Tanzania ambayo ni majina tu, kila jimbo linapewa watu elfu kadhaa so siku ya uchaguzi mkeka unatoka na orodha ndeeefu kabisa ambayo inachosha kusoma.

  • .Ukifika kituoni utakutana majina mengi sana so wewe utakuwa unahangaika kutafuta la kwako upige kura uondoke kumbuka ni marufuku kukaa kituoni bila kazi yoyote, pale kutakuwa na majina ya watu ambao hata hawajawahi kuishi pale ila afisa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo atakuwa anajua idadi ya wapiga kura fake kutoka kwenye ile list ya watu million 26.

  • Mfano wanataka kura 360, so kura 360 zinaandaliwa kabisa mda wa kupiga kura ukiisha box la kura kura fake 360 linazama ndani fresh zilishapigwa, imagine kila kituo wanakuwa na idadi ya kura fake ili kumatch hii million 26 ambao hawakujiandikisha

Hitimisho

Mkitaka kuamini hili waambieni hao NEC watoe majina yote ya watu million 37 waliojiandikisha , amini nawaambieni hawawezi kutoa labda muwaue, hata kwenye tovuti yao hayo majina hayapo, hata hao vyama vya siasa vinavyopewa daftari la wapiga kura hawana uwezo wakuwatambua wakazi wote wa eneo husika.
IMG-20250824-WA0012.jpg
 
Kwa idadi hiyo 26M na vituo vya kupigia kura vilivyopo nchini ambavyo ni 100,000 maana yake ni kwamba kila kituo kinakuwa na kura feki kati ya 200 hadi 300!

26M ÷ 100,000 = 260

Uwezekano huo upo!!!
Nawe kwakua huwezi kuwajua wakazi wote wa mtaa wako huwezi kuwagundua hawa 260. Na mnaambiwa mkishapiga kura mtawanyike mbali kabisa ili usije ukawa umekaa mahali unahesabu watu ukaja kugundua kua waliokuja physically ni pungufu kuliko kura zilizobandikwa.
 
Sisi Tanzania hatupigi kura kwa kutumia mfumo tunatumia makaratasi.

Hizo porojo za Pole Pole, hazina mashiko ni za kupuuza.
 
Imeandikwa na Dr Calipso, X

HII INAFANYIKAJE
  • . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa.

  • Mfano waliojiandikisha kihalali tusemeni watu million 11, ila tume imereport watu million 37sasa kumbuka watu hawa million 37 tume haijawahi kuwaweka wazi, sasa tume ina filter NIDA data kwa kuintergrate query mbili ya tume ya hawa million 11 na ya NIDA ambayo ni Zaidi ya million 18 regardless their status registration to vote.

  • So wakisha intergrate hawa 11million wanakuwa filtered out kule kwenye excel ya NIDA so wanabaki tuseme 37 million total number of adults over 18 years toa million 11 unabaki na million 26 adults ambao hawa hawajajiandikisha popote.

  • Inachukuliwa excel kutoka NIDA ya watu million 26 ambao hawajajiandikisha kisha wanaingizwa kwenye daftari la wapiga kura na kuandikishwa na label maalumu, yaani hawa million 26 wanakuwa na color code maalumu wasijichanganye na wale halali million 11maana hawa ni fake.

  • Inafanyika kazi maalumu ya kuwagawa hawa fake million 26 katika kata zote Tanzania ambayo ni majina tu, kila jimbo linapewa watu elfu kadhaa so siku ya uchaguzi mkeka unatoka na orodha ndeeefu kabisa ambayo inachosha kusoma.

  • .Ukifika kituoni utakutana majina mengi sana so wewe utakuwa unahangaika kutafuta la kwako upige kura uondoke kumbuka ni marufuku kukaa kituoni bila kazi yoyote, pale kutakuwa na majina ya watu ambao hata hawajawahi kuishi pale ila afisa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo atakuwa anajua idadi ya wapiga kura fake kutoka kwenye ile list ya watu million 26.

  • Mfano wanataka kura 360, so kura 360 zinaandaliwa kabisa mda wa kupiga kura ukiisha box la kura kura fake 360 linazama ndani fresh zilishapigwa, imagine kila kituo wanakuwa na idadi ya kura fake ili kumatch hii million 26 ambao hawakujiandikisha

Hitimisho

Mkitaka kuamini hili waambieni hao NEC watoe majina yote ya watu million 37 waliojiandikisha , amini nawaambieni hawawezi kutoa labda muwaue, hata kwenye tovuti yao hayo majina hayapo, hata hao vyama vya siasa vinavyopewa daftari la wapiga kura hawana uwezo wakuwatambua wakazi wote wa eneo husika.
Hakuna chama makini zaidi ya CHADEMA ndani ya TANZANIA hii mpaka sasa.
 
Tumepigwa sana kwa miaka mingi
 
Du! Aiseeeeeee! Ndo maana hawataki simu wala camera maana unaweza piga picha majina ukakuta jina na namba uliloliona Kisiju-Mkuranga - Pwani ni la mkazi wa Namanyere - Rukwa..

Tatizo hivi vyama vinaendelea na Uchaguzi ni mama na wanawe,,,, kwasababu kama vyama wanapewa majina ya Wapiga Kura kulingana na eneo husika mnaweza kufanya ka-research kadogo kuona kama majina yale ni wakazi wa pale yalipoandikwa...
Huu Mwaka uchaguzi ni wa moto. Yamebumbuluka mambo hayajawahi kubumbuluka.
 
Ccm ni chama ..."kubwa jinga"...mlundikano wa majizi yasiyo na akili😀
 
Tukumbuke, vigezo vya NIDa ni sawa kabisa na vigezo vya nec siiti inec. Kwa nini nec wasitumie vitambulisho vinavyotolewa na NIDa? Ndio wizi wenyewe huo.
 
Back
Top Bottom