Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Huu uchambuzi unadhihirisha namna hata mkwe wa rais alivyosimamia kuchakachua "uchaguzi" s/mitaaCHADEMA, kwa kweli, tunaomba Mungu aibariki na kuilinda, kwa maana ndani gake kuna watu wenye akili, hekima, wakweli, na wanaoitafuta haki. Maana wengi wana uwezo wa kujiunga na wadhulumaji haki, na wakapata nafasi ya kuyala mema ya nchi yatokayo na dhuluma za watawala. Lakini wengi wao wameamua ni aheri waishi maisha ya kawaida, maisha ya shida na mateso, kuliko kuungana na wadhulumaji haki. Hawa kwa kweli ndiyo watu pekee wenye upendo wa kweli kwa Watanzania na Taifa lao.