Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

Imeandikwa na Dr Calipso, X

HII INAFANYIKAJE
  • . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa.

  • Mfano waliojiandikisha kihalali tusemeni watu million 11, ila tume imereport watu million 37sasa kumbuka watu hawa million 37 tume haijawahi kuwaweka wazi, sasa tume ina filter NIDA data kwa kuintergrate query mbili ya tume ya hawa million 11 na ya NIDA ambayo ni Zaidi ya million 18 regardless their status registration to vote.

  • So wakisha intergrate hawa 11million wanakuwa filtered out kule kwenye excel ya NIDA so wanabaki tuseme 37 million total number of adults over 18 years toa million 11 unabaki na million 26 adults ambao hawa hawajajiandikisha popote.

  • Inachukuliwa excel kutoka NIDA ya watu million 26 ambao hawajajiandikisha kisha wanaingizwa kwenye daftari la wapiga kura na kuandikishwa na label maalumu, yaani hawa million 26 wanakuwa na color code maalumu wasijichanganye na wale halali million 11maana hawa ni fake.

  • Inafanyika kazi maalumu ya kuwagawa hawa fake million 26 katika kata zote Tanzania ambayo ni majina tu, kila jimbo linapewa watu elfu kadhaa so siku ya uchaguzi mkeka unatoka na orodha ndeeefu kabisa ambayo inachosha kusoma.

  • .Ukifika kituoni utakutana majina mengi sana so wewe utakuwa unahangaika kutafuta la kwako upige kura uondoke kumbuka ni marufuku kukaa kituoni bila kazi yoyote, pale kutakuwa na majina ya watu ambao hata hawajawahi kuishi pale ila afisa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo atakuwa anajua idadi ya wapiga kura fake kutoka kwenye ile list ya watu million 26.

  • Mfano wanataka kura 360, so kura 360 zinaandaliwa kabisa mda wa kupiga kura ukiisha box la kura kura fake 360 linazama ndani fresh zilishapigwa, imagine kila kituo wanakuwa na idadi ya kura fake ili kumatch hii million 26 ambao hawakujiandikisha

Hitimisho

Mkitaka kuamini hili waambieni hao NEC watoe majina yote ya watu million 37 waliojiandikisha , amini nawaambieni hawawezi kutoa labda muwaue, hata kwenye tovuti yao hayo majina hayapo, hata hao vyama vya siasa vinavyopewa daftari la wapiga kura hawana uwezo wakuwatambua wakazi wote wa eneo husika.
Na ndio maana ya zile kanuni zilizosainiwa na vyama mamluki vya CCM..

Kuna kanuni zimeandikwa zikiweka amri na masharti ya ajabu yenye lengo ya kuharibu uchaguzi badala ya kuwa na kanuni zinazotengeneza mazingira ya kuufanya uchaguzi kuwa wa haki, wazi, huru na kuaminika na kila mtu...

Angalia mfano wa kanuni hizi👇

√ Eti wapiga kura wakipiga kura wakae mita 200 ili wasiwe kwenye usawa ambao macho yao yataona nini kinafanyika ndani ya kituo cha kupigia kura. Ukijiuliza kwani Kuna shida gani iwapo watu wakipiga kura na kubaki nje wakisubiria matokeo iwapo kila kitu kipo sawa? Hakika ni ngumu kupata jibu la swali hili. Hili lilifanyika kwa CHADEMA januari wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wao. Kila kitu kilikuwa wazi, watu wote wakiona kila hatua ya mchakato wa upigaji kura, kuhesabu na kutangaza matokeo. Kwenye uchaguzi wa nchi kwanini uwazi wa namna ile unashindikana? Jibu tumelipata, kuwa, kuna wizi wa kura hufanyikia..!!

√ Mawakala wa mgombea wa chama kutoruhusiwa kuwa na simu katika vituo vya kupigia

√ Vikwazo vya viapo vya mawakala ili mshindwe na vyama visivyo CCM vishindwe kuwa na mawakala

√ Utaratibu tata wa kujumlisha na kutangaza matokeo ya kura ktk vituo vituo vya kupigia kura..

√ Kanuni pia zinasema, eti si lazima mawakala kupewa nakala ya matokeo ktk vituo vya kupigia kura. Hilo itategemea na utashi wa msimamizi wa kituo cha kupigia kura..!!

Hicho👆 ni kichekesho kwelikweli. Maana yake, mtu unajuliza kama ni hivi, mawakala wa wagombea na vyama vyenye wagombea watakuwepo kwenye vituo vya kupigia kura kufanya nini sasa kama hawatapata nakala ya matokeo ya kituo...?

Generally speaking ni kuwa, hizo kanuni zote zimewekwa kwa makusudi kabisa lengo likiwa ku - facilitate wizi wa kura kwa ajili ya kunufaisha mgombea/wagombea wa CCM tu ambao msingi wake ni kwenye mifumo hii iliyounganishwa direct hadi kwenye mifumo ya CCM....

Siri yake imefunuliwa wazi na CCM wao wenyewe kupitia kwa kada wao muhimu kabisa ambaye amekiri kwa kinywa chake mwenyewe kuwa alishiriki kikamilifu kuitengeneza..!
 
Na ndio maana ya zile kanuni zilizosainiwa na vyama mamluki vya CCM..

Kuna kanuni zimeandikwa zikiweka amri na masharti ya ajabu ajabu mpaka yenye lengo ya kuharibu uchaguzi badala ya kumtengeneza mazingira ya kuufanya uwe wa haki na uwazi haki...

Maana zile kanuni zilizosainiwa, mfano;
√ Mawakala wa mgombea wa chama kutoruhusiwa kuwa na simu katika vituo vya kupigia

√ Vikwazo vya viapo vya mawakala ili mshindwe na vyama visivyo CCM vishindwe kuwa na mawakala

√ Utaratibu tata wa kujumlisha na kutangaza matokeo ya kura ktk vituo vituo vya kupigia kura..

√ Kanuni pia zinasema, eti si lazima mawakala kupewa nakala ya matokeo ktk vituo vya kupigia kura. Hilo itategemea na utashi wa msimamizi wa kituo cha kupigia kura..!!

Hicho👆 ni kichekesho kwelikweli. Maana yake, mtu unajuliza kama ni hivi, mawakala wa wagombea na vyama vyenye wagombea watakuwepo kwenye vituo vya kupigia kura kufanya nini sasa kama hawatapata nakala ya matokeo ya kituo...?

Generally speaking ni kuwa, hizo kanuni zote zimewekwa kwa makusudi kabisa lengo likiwa ku - facilitate wizi wa kura kwa ajili ya kunufaisha mgombea/wagombea wa CCM tu ambao msingi wake ni kwenye mifumo hii iliyounganishwa direct hadi kwenye mifumo ya CCM....

Siri yake imefunuliwa wazi na CCM wao wenyewe kupitia kwa kada wao muhimu kabisa ambaye amekiri kwa kinywa chake mwenyewe kuwa alishiriki kikamilifu kuitengeneza..!
Sure unajua idadi yawapiha kura 37M ndo ilikuwa shocking story
 
Imeandikwa na Dr Calipso, X

HII INAFANYIKAJE
  • . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa.

  • Mfano waliojiandikisha kihalali tusemeni watu million 11, ila tume imereport watu million 37sasa kumbuka watu hawa million 37 tume haijawahi kuwaweka wazi, sasa tume ina filter NIDA data kwa kuintergrate query mbili ya tume ya hawa million 11 na ya NIDA ambayo ni Zaidi ya million 18 regardless their status registration to vote.

  • So wakisha intergrate hawa 11million wanakuwa filtered out kule kwenye excel ya NIDA so wanabaki tuseme 37 million total number of adults over 18 years toa million 11 unabaki na million 26 adults ambao hawa hawajajiandikisha popote.

  • Inachukuliwa excel kutoka NIDA ya watu million 26 ambao hawajajiandikisha kisha wanaingizwa kwenye daftari la wapiga kura na kuandikishwa na label maalumu, yaani hawa million 26 wanakuwa na color code maalumu wasijichanganye na wale halali million 11maana hawa ni fake.

  • Inafanyika kazi maalumu ya kuwagawa hawa fake million 26 katika kata zote Tanzania ambayo ni majina tu, kila jimbo linapewa watu elfu kadhaa so siku ya uchaguzi mkeka unatoka na orodha ndeeefu kabisa ambayo inachosha kusoma.

  • .Ukifika kituoni utakutana majina mengi sana so wewe utakuwa unahangaika kutafuta la kwako upige kura uondoke kumbuka ni marufuku kukaa kituoni bila kazi yoyote, pale kutakuwa na majina ya watu ambao hata hawajawahi kuishi pale ila afisa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo atakuwa anajua idadi ya wapiga kura fake kutoka kwenye ile list ya watu million 26.

  • Mfano wanataka kura 360, so kura 360 zinaandaliwa kabisa mda wa kupiga kura ukiisha box la kura kura fake 360 linazama ndani fresh zilishapigwa, imagine kila kituo wanakuwa na idadi ya kura fake ili kumatch hii million 26 ambao hawakujiandikisha

Hitimisho

Mkitaka kuamini hili waambieni hao NEC watoe majina yote ya watu million 37 waliojiandikisha , amini nawaambieni hawawezi kutoa labda muwaue, hata kwenye tovuti yao hayo majina hayapo, hata hao vyama vya siasa vinavyopewa daftari la wapiga kura hawana uwezo wakuwatambua wakazi wote wa eneo husika.
Kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa hapa kwetu baada ya jina la mwisho kuandikishwa mtendaji alikuja kuongeza majina mengine kama 500. Waliandikisha 1937 siku ya kura kukawa na kitabu kingine chenye majina 2439 mwisho.

WanaCCM wakawa wanaitana na kupeana majina hewa na kwenda kupiga kura kwenye vituo tofauti. Anapiga kituo A kama mwajuma anakwenda kituo B anapiga kama Ashura.

Waliletwa watu na Costa toka mitaa ya Gongo la mboto kwenda kupiga kura Mbezi
 
Umejibu huku unaona aibu baada ya hii Mada kuwekwa wazi jinsi mnavyoiba kura. Hata mimi mwanzo nilikuwa sielewi, kwahiyo mlipotumia uongo wa hivi nilikuwa nabaki njia panda.

Inabidi huu ufafanuzi wa jinsi mnavyoiba kura kupitia NIDA inabidi Polepole autolee ufafanuzi tena kama hivi, ili msiendelee kuwadanganya watu kwa kutumia hizi propaganda zenu zinazoenezwa na NIDA na NEC kwaajili ya kujisafisha huku wanajua ukweli upowapi.

Kama kweli mnajiamini hamna wapiga kura feki waambie INEC waweke katika website yao orodha ya hao watu milioni 37 waliojiandikisha kama hatutokutana na majina feki ya watu ambao hawajajiandikisha. Dahh hatimae ukweli unazidi kuwekwa wazi oneday kila mtanzania atajua ukweli na hamtakuwa na pakujificha.
Mkuu bado hujajibu swali.

Huo mfumo unatumikaje kama tunapiga kura za makaratasi??
 
Kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa hapa kwetu baada ya jina la mwisho kuandikishwa mtendaji alikuja kuongeza majina mengine kama 500. Waliandikisha 1937 siku ya kura kukawa na kitabu kingine chenye majina 2439 mwisho.

WanaCCM wakawa wanaitana na kupeana majina hewa na kwenda kupiga kura kwenye vituo tofauti. Anapiga kituo A kama mwajuma anakwenda kituo B anapiga kama Ashura.

Waliletwa watu na Costa toka mitaa ya Gongo la mboto kwenda kupiga kura Mbezi
Hatari sana. Ndiyo utaratibu wao.
 
Hitimisho

Mkitaka kuamini hili waambieni hao NEC watoe majina yote ya watu million 37 waliojiandikisha , amini nawaambieni hawawezi kutoa labda muwaue, hata kwenye tovuti yao hayo majina hayapo, hata hao vyama vya siasa vinavyopewa daftari la wapiga kura hawana uwezo wakuwatambua wakazi wote wa eneo husika.
 
IMG-20250824-WA0005.jpg
 
Kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa hapa kwetu baada ya jina la mwisho kuandikishwa mtendaji alikuja kuongeza majina mengine kama 500. Waliandikisha 1937 siku ya kura kukawa na kitabu kingine chenye majina 2439 mwisho.

WanaCCM wakawa wanaitana na kupeana majina hewa na kwenda kupiga kura kwenye vituo tofauti. Anapiga kituo A kama mwajuma anakwenda kituo B anapiga kama Ashura.

Waliletwa watu na Costa toka mitaa ya Gongo la mboto kwenda kupiga kura Mbezi
Alafu hayo maccm ndio maskini wa kutupwa.Utakuta lijitu limepewa elfu 5 alafu linashiriki upumbavu huo likidhani linakomoa upinzani.Kesho yake unakuta linalia maisha magumu,huduma za jamii hakuna wakati lenyewe lilishiriki kufanya huo uhanithi.
 
Nimemaanisha Chadema imefanya kosa kubw kususia uchaguzi ccm wanataka jino kw jino ndo waachie hii nchi
Mdau ina maana hadi tarehe ya leo hujaweza kutofautisha kususia uchaguzi na kuzuia uchaguzi?!
Jino kwa jino inaweza patikana humo!
 
Inabidi mfumo uboreshwe kidogo cable iende kwenye mitandao ya simu ili kila mtu atakae piga kura muamala usome kwenye simu yake.. kazi na dawa
Tupige kura online,Hapo nitashiriki uchaguzi.
Ila kupanga mstari hapana.
 
Imeandikwa na Dr Calipso, X

HII INAFANYIKAJE
  • . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa.

  • Mfano waliojiandikisha kihalali tusemeni watu million 11, ila tume imereport watu million 37sasa kumbuka watu hawa million 37 tume haijawahi kuwaweka wazi, sasa tume ina filter NIDA data kwa kuintergrate query mbili ya tume ya hawa million 11 na ya NIDA ambayo ni Zaidi ya million 18 regardless their status registration to vote.

  • So wakisha intergrate hawa 11million wanakuwa filtered out kule kwenye excel ya NIDA so wanabaki tuseme 37 million total number of adults over 18 years toa million 11 unabaki na million 26 adults ambao hawa hawajajiandikisha popote.

  • Inachukuliwa excel kutoka NIDA ya watu million 26 ambao hawajajiandikisha kisha wanaingizwa kwenye daftari la wapiga kura na kuandikishwa na label maalumu, yaani hawa million 26 wanakuwa na color code maalumu wasijichanganye na wale halali million 11maana hawa ni fake.

  • Inafanyika kazi maalumu ya kuwagawa hawa fake million 26 katika kata zote Tanzania ambayo ni majina tu, kila jimbo linapewa watu elfu kadhaa so siku ya uchaguzi mkeka unatoka na orodha ndeeefu kabisa ambayo inachosha kusoma.

  • .Ukifika kituoni utakutana majina mengi sana so wewe utakuwa unahangaika kutafuta la kwako upige kura uondoke kumbuka ni marufuku kukaa kituoni bila kazi yoyote, pale kutakuwa na majina ya watu ambao hata hawajawahi kuishi pale ila afisa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo atakuwa anajua idadi ya wapiga kura fake kutoka kwenye ile list ya watu million 26.

  • Mfano wanataka kura 360, so kura 360 zinaandaliwa kabisa mda wa kupiga kura ukiisha box la kura kura fake 360 linazama ndani fresh zilishapigwa, imagine kila kituo wanakuwa na idadi ya kura fake ili kumatch hii million 26 ambao hawakujiandikisha

Hitimisho

Mkitaka kuamini hili waambieni hao NEC watoe majina yote ya watu million 37 waliojiandikisha , amini nawaambieni hawawezi kutoa labda muwaue, hata kwenye tovuti yao hayo majina hayapo, hata hao vyama vya siasa vinavyopewa daftari la wapiga kura hawana uwezo wakuwatambua wakazi wote wa eneo husika.
Nileeteni likebo niishi nalo nyumbani kwangu
 
Back
Top Bottom