Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

Du hatari sana. Ndo maana mpaka.sasa NIDA. NEC na CCM wanapuyanga kumjibu HP
 
Hata wangehakiki jina kwa jina mchezo unavyochezwa kwenye majumuisho ni hatari sana. Ndiyo maana mwaka huu Tume wamepanua goli yaani pool ya kura feki mwaka huu ni kubwa mno. Msifikiri ni wajinga kuwaambia kuwa wapiga kura wako zaidi ya 37M. Wapiga kura halisi hawafiki hata 26M. Hivyo wana pool ya kura feki zaidi ya 10M plus watu ambao hawataenda kupiga kura.

Narudia tena CCM inaweza kutawala zaidi ya 200yrs bila bila Dude la kuchakachulia kubomolewa.
 
Du hatari sana. Ndo maana mpaka.sasa NIDA. NEC na CCM wanapuyanga kumjibu HP
Hawawezi kujibu hoja ya Polepole kuwa "Ufanywe ukaguzi huru na wataalamu huru kwenye mfumo kuthibitisha anayoyasema" hutasikia kamwe wanasema tuko tayari mfumo ukaguliwe na wadau wa uchaguzi wakiongozwa na wataalam wazuri wa "Penetration Test".
 
 
Kwa idadi hiyo 26M na vituo vya kupigia kura vilivyopo nchini ambavyo ni 100,000 maana yake ni kwamba kila kituo kinakuwa na kura feki kati ya 200 hadi 300!

26M ÷ 100,000 = 260

Uwezekano huo upo!!!
Nawe kwakua huwezi kuwajua wakazi wote wa mtaa wako huwezi kuwagundua hawa 260. Na mnaambiwa mkishapiga kura mtawanyike mbali kabisa ili usije ukawa umekaa mahali unahesabu watu ukaja kugundua kua waliokuja physically ni pungufu kuliko kura zilizobandikwa.
 
Sisi Tanzania hatupigi kura kwa kutumia mfumo tunatumia makaratasi.

Hizo porojo za Pole Pole, hazina mashiko ni za kupuuza.
 
Hakuna chama makini zaidi ya CHADEMA ndani ya TANZANIA hii mpaka sasa.
 
Tumepigwa sana kwa miaka mingi
 
Huu Mwaka uchaguzi ni wa moto. Yamebumbuluka mambo hayajawahi kubumbuluka.
 
Ccm ni chama ..."kubwa jinga"...mlundikano wa majizi yasiyo na akili😀
 
Tukumbuke, vigezo vya NIDa ni sawa kabisa na vigezo vya nec siiti inec. Kwa nini nec wasitumie vitambulisho vinavyotolewa na NIDa? Ndio wizi wenyewe huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…