Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

Tukumbuke, vigezo vya NIDa ni sawa kabisa na vigezo vya nec siiti inec. Kwa nini nec wasitumie vitambulisho vinavyotolewa na NIDa? Ndio wizi wenyewe huo.
Kazi kweli kweli, serikali ije na majibu hili jambo ni nyeti sana.
 
Wanajimegea hadi kura za wakfu wanasiasa kuona pepo ngumu sana
 
Sisi Tanzania hatupigi kura kwa kutumia mfumo tunatumia makaratasi.

Hizo porojo za Pole Pole, hazina mashiko ni za kupuuza.
Umejibu huku unaona aibu baada ya hii Mada kuwekwa wazi jinsi mnavyoiba kura. Hata mimi mwanzo nilikuwa sielewi, kwahiyo mlipotumia uongo wa hivi nilikuwa nabaki njia panda.

Inabidi huu ufafanuzi wa jinsi mnavyoiba kura kupitia NIDA inabidi Polepole autolee ufafanuzi tena kama hivi, ili msiendelee kuwadanganya watu kwa kutumia hizi propaganda zenu zinazoenezwa na NIDA na NEC kwaajili ya kujisafisha huku wanajua ukweli upowapi.

Kama kweli mnajiamini hamna wapiga kura feki waambie INEC waweke katika website yao orodha ya hao watu milioni 37 waliojiandikisha kama hatutokutana na majina feki ya watu ambao hawajajiandikisha. Dahh hatimae ukweli unazidi kuwekwa wazi oneday kila mtanzania atajua ukweli na hamtakuwa na pakujificha.
 
Kitambo sana mzee
 
Kwani hamjagundua hadi hapo kwanini tume ya CCM haitaki kifaa chochote cha teknolojia kama simu, kamera au vinasa sauti katika chumba cha kupigia kura isipokuwa policcm na msimamizi wa uchaguzi ambaye ni mwanaccm pia.
 
Umesema jambo ata nami ndo nmestuka unajua hata kipindi kile Cha uchaguzi wa kata nilikuta majina katika daftari ata sijawai kuyaona yaaan wakat mtaa wetu ata buku hawafiki
Video zilienea mtandaoni wanafunzi wakiyacheka majina yao kwamba yamewazidi umri wazazi wao. --- lakini ikapita kimya kama ambavyo na hii itapita kimya --- hii ndo hali tuliyofikia
 
Kila Chama cha
Maelezo marefu sana tuelimishe taratibu, Kwanza kila Chama kimekabidhiwa hard copy na softcopy ya wapiga kura wa nchi hii. Pili nchi hii Haina mfumo wa kupiga kura ki-electrinic. Unapiga kura kwenye karatasi na kura zinahesabiwa na kujumuishwa kituoni. Fomu ya matokeo inasainiwa na wagombea na kubandikwa kituoni. Sasa ni wakati gani fomu hizi zinabadilika na kuingia kwenye mfumo? Ukizingatia utaratibu wa kuandikisha wanachama wa vyama vya siasa kidigitari mpaka 2020 uliokuwa haujanza na muanzilishi wa digital registration Kwa vyama vya siasa ni Chadema wengine wote wanaiga? Ni kweli kulikuwa Kuna integration ya NIDA na NEC na ilijadiliwa bungeni ili kuwezesha waliopoteza Voters Card kuwezeshwa kupiga kura kutumia NIDA card kigezo kuwa with NIDA card inadhihirisha muhusika ni Mtanzania na ana umri na kigezo Cha upigaji kura Kwa kutiki kwenye karatasi!!
 

Mimi mzee wangu Yupo NIDA kinachozungumzwa ni Sahihi .


Kura zinazotangazwa na Tume wakati wa hatua za mwisho sio halisi na hizi mlizoziona chini

Kiufupi Hadi Sasa wapo zoezi la asilimia 80 kupanga Kura feki na kusambaza majina ..

Huo ndio ukweli .. vingine hatuwezi ongea sababu Jf SI Ile ya zamani..
 
Mtaa ninao kaa yamebandikwa majina 366 walikwisha fariki zaidi ya watu 10 na point watu waliohama zaidi ya 100 na point kutoka mwaka 2019 hii inaringana na wasiwasi wetu inawezekana tukaanzisha akaunt ya kupiga picha majina na kuwawekea alama wale waliofariki na kuhama sema usalama mdogo
 
Well said.

Kiufupi Ccm sio chama cha siasa tu ila ni mhimili wa 4 wa Tanzania.
 
Inabidi mfumo uboreshwe kidogo cable iende kwenye mitandao ya simu ili kila mtu atakae piga kura muamala usome kwenye simu yake.. kazi na dawa
Haitatui tatizo.. hapo majina ya wapiga kura yabandikwe vituoni wiki mbili kabla.. wataje kabisa mtaa anaoishi na namba ya nyumba. Tujiridhishe kama ni watu wetu kweli
 
Usalama, hello mama nimepewa taarifa kuwa wapiga kura waliojiandikisha ni wachache sana million 11 tu

Samia, mmmh sasa tifanyeje em ngoja niongee na boss wangu(JK)

Samia, mkuu nimepewa taarifa nyeti kuwa wapiga kura ni wachache sana million 11, naona hali mbaya mkuu nishauri

JK, Hahahahah mama samia nikutoe shaka sisi ndo wenye hii nchi tulia mama mambo yatakuwa safi kabisa

😁😁😁 safari ni ndefu lbd km JK afe ila km bado yupo hizo reform zitaishia hewani
 
Sikia kwa kushirikiana na vyombo vya dola CCM Huwa wanaaingiza masunduku ya.kura.fake kinyemela police walisha declare wao ni CCM pure
 
Tumia vpn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…