The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
- Thread starter
- #21
Nimeipitia NDEUmeyajuaje haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipitia NDEUmeyajuaje haya?
Nilipitia NDEWewe umejuaje?
Utajua tu, ukifa utajua Sasa nakufa.Hiyo hali inakuja automatic? Kwann nisiwaze maybe hapa nazimia tu?
Yeah, sema itachukua mda mchache zaidi hata chini ya sekundeHata ukipigwa risasi ya kichwa bado utahisi na kujisikia hivyo?
Yeah, thanks to gwajima nilirudiUlishawahi kufa?
Hata wanaogongwa na gari na hupata haya?-Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
-Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
-Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
-Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
-Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
-Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
-Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
-Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
-Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
-Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
-Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
-Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.
-Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.
Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.
(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
-Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,

Mtakuwa wote wahuni.Yeah, thanks to gwajima nilirudi
wale wa kujitia kitanzi na kujining'iniza huwa kwanini mpaka washushe mzigo? ile inasababishwa na nini ndrugu mkufunzi wa mambo ya kuzimu 🐒-Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
-Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
-Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
-Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
-Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
-Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
-Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
-Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
-Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
-Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
-Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
-Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.
-Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.
Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.
(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
Yeah, sahihi kabisakuna hormone itaachiliwa kwa wingi kwenye ubongo wako itakayokufanya upate furaha ya ajabu(euphoria)
ndo maana watu waliopitia near death experiences wanasimulia kuona mwanga flani, au kuingia kwenye uwepo fulani
Kifo ni kile kile, process ni zilezile tofauti ni muda utakaotumia tu.Hata wanaogongwa na gari na hupata haya?
Upuuzi
Please, tell us more about coma situation.Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
Hii ndo ukweli ila mtoa mada katuuzaNilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
R. I. P mkuu.
- Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
- Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
- Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
- Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
- Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
- Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
- Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
- Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
- Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
- Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
- Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
- Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.
- Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.