Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
 
-Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
-Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
-Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
-Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
-Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
-Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
-Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
-Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
-Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
-Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
-Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
-Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.

-Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.

Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.

(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
Hata wanaogongwa na gari na hupata haya?

Upuuzi
 
Swali la msingi:

"Umeyajua je?"
 
wale wa kujitia kitanzi na kujining'iniza huwa kwanini mpaka washushe mzigo? ile inasababishwa na nini ndrugu mkufunzi wa mambo ya kuzimu 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
Please, tell us more about coma situation.
 
Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
Hii ndo ukweli ila mtoa mada katuuza
 
  • Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
  • Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
  • Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
  • Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
  • Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
  • Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
  • Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
  • Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
  • Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
  • Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
  • Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
  • Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.

- Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.

Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.

(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
R. I. P mkuu.
 
Back
Top Bottom