Hivi ndivyo Jimmy Carter alivyobaki. Ndiyo tujue sasa dunia haina urafiki

A point of correction. Jimmy carter yupo kwenye hospice care, nyumbani kwake.

Yeye na mkewe waliamua wasitunzwe tena na familia zao, sasa Atafiki daktari maalum au muuguzi kuwatunza wao.

Kwasasa ana terminal disease. Any time annaweza kututoka, kwa maono yake yeye.

Yupo kwake na mkewe ila anatunzwa na wauzui hajaenda kwenye nyumba ya wazee. Ila tu anahitaji muda wake, na Mungu na Matibabu ya kawaida. He is at the end.

Ila pia huyu bwana bado alikua anatumika na serikali hasa bunge na. Ushauri mbali mbali.

Alionekana hata mwaka jana kabla hajafika 99, kwenye vikao mbalimbali.
Pia hadi mwaka jana alikuwa akifanya kazi za kujitolea, ambapo alikua akijitolea kufanya kazi za ujenzi wa makazi ambapo walikua wakijenga makaazi kwa ajili ya the homeless.
 
Huna jipya.Na sijui ni kipi kinachokuuma ukimuona Jimmy Carter kama hivyo ilhali wewe huna ushirika katika kuumbwa kwake na mwisho wake
Basi kama ndo hivyo Kulikuwa na Umuhimu gani wa wewe kutuletea habari za Jimmy Carter wakati hakujui na huna uhusiano nae katika "kuumbwa kwake na mwisho wake"🤣

Naona bado unazidi kuonesha jinsi akili zako zilivyo mgando.
 
L
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.

Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977 mpaka 1981.

Miongoni mwa mafanikio ya utawala wake ilikuwa ni kufanikisha kutiiana saini ya kurejesha uhusiano kati ya Israe na Misri mnamo mwaka 1979.

Kwa sasa Raisi huyo amepelekwa kwenye nyumba zenye huduma za afya za kuhudumia wazee baada ya kupata maradhi ya saratani isiyotibika tena.

Katika umri huo Jimmy Carter ndiye raisi aliyewahi kuishi miaka mingi zaidi na aliyebaki hai muda mrefu zaidi baada ya kuondoka madarakani.

Muhimu kwa binadamu wengine ni kujifunza kwamba katika maisha inafika muda heshima zote zinaondoka na hata marafiki binafsi, urasimu wa kimadaraka vinaisha na kuonekana mzigo na familia na kutokuwa na umuhimu wowote wa kutafutwa ushauri kutoka ofisi uliyoihudumia.

Inafika wakati vyakula vyote vizuri unavimiliki lakini hata ukivitumia havibadilishi afya ya mwili.

Dawa zozote za kutibu za hali ya juu haziwezi tena kutibu maradhi yanayokupata.

View attachment 2977746View attachment 2977693View attachment 2977691
ila bado ananyuka suit...mzee mbishi.
 
Basi kama ndo hivyo Kulikuwa na Umuhimu gani wa wewe kutuletea habari za Jimmy Carter wakati hakujui na huna uhusiano nae katika "kuumbwa kwake na mwisho wake"🤣

Naona bado unazidi kuonesha jinsi akili zako zilivyo mgando.
Sikukusudia lazima wewe ndio usome.Na unajionaje unapojaribu kuwajibia mamia waliokwishakuusoma huu uzi na kupata mafunzo .Hakuna aliyelalamika kama wewe.
Inaonesha wazi ulivyo na kiherehere kwa mambo ya kawaida na yenye faida kwa wenzako.
Uliposoma kwa mara ya mwanzo ungetosheka na kurudi kule kwenye nyuzi uzipendazo za kuzungumzia mambo ya mashoga.Nashangaa bado unatufuatafuata tu.
 
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.

Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977 mpaka 1981.

Miongoni mwa mafanikio ya utawala wake ilikuwa ni kufanikisha kutiiana saini ya kurejesha uhusiano kati ya Israe na Misri mnamo mwaka 1979.

Kwa sasa Raisi huyo amepelekwa kwenye nyumba zenye huduma za afya za kuhudumia wazee baada ya kupata maradhi ya saratani isiyotibika tena.

Katika umri huo Jimmy Carter ndiye raisi aliyewahi kuishi miaka mingi zaidi na aliyebaki hai muda mrefu zaidi baada ya kuondoka madarakani.

Muhimu kwa binadamu wengine ni kujifunza kwamba katika maisha inafika muda heshima zote zinaondoka na hata marafiki binafsi, urasimu wa kimadaraka vinaisha na kuonekana mzigo na familia na kutokuwa na umuhimu wowote wa kutafutwa ushauri kutoka ofisi uliyoihudumia.

Inafika wakati vyakula vyote vizuri unavimiliki lakini hata ukivitumia havibadilishi afya ya mwili.

Dawa zozote za kutibu za hali ya juu haziwezi tena kutibu maradhi yanayokupata.

View attachment 2977746View attachment 2977693View attachment 2977691
Mzee wa siku
 
Sikukusudia lazima wewe ndio usome.Na unajionaje unapojaribu kuwajibia mamia waliokwishakuusoma huu uzi na kupata mafunzo .Hakuna aliyelalamika kama wewe.
Inaonesha wazi ulivyo na kiherehere kwa mambo ya kawaida na yenye faida kwa wenzako.
Uliposoma kwa mara ya mwanzo ungetosheka na kurudi kule kwenye nyuzi uzipendazo za kuzungumzia mambo ya mashoga.Nashangaa bado unatufuatafuata tu.
We jamaa una shida mahali! Wengi wamekulalamikia hawakuelewi ulilenga nini hasa!
Bora ukae kimya tu.
 
We unatamani ufikishe miaka hiyo
Kuna mtu asiyetamani kuishi?

Huyo Carter mwenyewe ukiondoa sababu za maradhi bado anatamani aishi,as for me binadamu akijaaliwa umri mrefu hiyo kwake ni favour kwa sababu ktk umri mkubwa kama huo 99 yrz anapata fursa kujiandaa kuonana na Mungu wake tofauti na kukata moto at 40s akiwa mbio mbio na maisha.
 
imagine uko pumbu halafu una miaka 99, una terminal cancer na upo kusini mwa jangwa la sahara
Hiyo 99 yenyewe hutoboi!

Tumeona watu hapa wameishi kuisogelea hii miaka (refer to Mwinyi) lakini ukweli kama siyo care ya maana wasingefika na kufa vifo tulivu na pia kwenye jamii yetu wapo wazee umri huo wanateseka vibaya mno kiasi familia zao zinaomba wafe waondokane na mizigo.
 
A point of correction. Jimmy carter yupo kwenye hospice care, nyumbani kwake.

Yeye na mkewe waliamua wasitunzwe tena na familia zao, sasa Atafiki daktari maalum au muuguzi kuwatunza wao.

Kwasasa ana terminal disease. Any time annaweza kututoka, kwa maono yake yeye.

Yupo kwake na mkewe ila anatunzwa na wauzui hajaenda kwenye nyumba ya wazee. Ila tu anahitaji muda wake, na Mungu na Matibabu ya kawaida. He is at the end.

Ila pia huyu bwana bado alikua anatumika na serikali hasa bunge na. Ushauri mbali mbali.

Alionekana hata mwaka jana kabla hajafika 99, kwenye vikao mbalimbali.
They should put him down
 
Waafrika tunasema hajazeeka anaigiza hiyo ni mbinu ya kutuibia rasilimali zetu
 
We jamaa una shida mahali! Wengi wamekulalamikia hawakuelewi ulilenga nini hasa!
Bora ukae kimya tu.
Shida iko kwako zaidi.Kati ya waliosoma una takwimu kuonesha kuwa wengi wamenipinga au wewe ni mtu fitna na wa kujipendekeza na unayependa mawazo yako ndio yawe hukumu ya wengine.
Mjinga sana wewe.
 
Tatizo hutaki kukubali kuwa wewe ni mjinga wengi wajinga huwa hawajijui kuwa ni wajinga.
Una uwezo mdogo sana wa fikra.
 
Back
Top Bottom