Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Hivi nyie huwa mnaelewa kinyume eti? Amesema pesa zilizochangwa zimetumika tofauti na makubaliano. Badala ya uchaguzi imenunua magari na haijulikani zingine zimeenda wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ruzuku na michango ya kadi za wanachama mil 6 hazitoshi kuendesha chama? Mnawapa stress Wabunge wenu kwa michango isiyo na msingi. Mizinga wanayopigwa majimboni inawatosha aisee.
Tatizo is pale alipooa binti wa spika.
 
KATIBA ya chama inasema nini kuhusu ukaguzi wa mahesabu ya fedha?

Unafanywa lini na lini?

Kuna ripoti?

Anapewa nani ripoti?

Inasomwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…