Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii , Freeman Mbowe ni miongoni mwao .
Huyu Jamaa anatisha ! Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno , wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu , lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo kikuu kiliingia kwenye msiba huo , (nilikuwepo eneo la tukio)
Mbowe alipofika tu wale wote waliokuwa wanalia kwa Uchungu walinyamaza , kama vile walipewa ishara fulanii ya kupisha Ujio wa Mbowe , hili jambo kwangu ni geni , Bashasha za wafiwa na Wageni wengine ziliongezeka mara dufu ! Japo ni Msiba lakini watu walipata matumaini fulani hivi , Nikajiuliza huyu Raia ana kitu gani hasa kiasi cha kupooza mambo kwenye msiba huu ?
Nimejifunza kwamba katika dunia hii usithubutu kushindana na aliyejaaliwa
View attachment 2901283View attachment 2901284View attachment 2901285