Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

Huna akili ?
Ndio sera mliyo baki nayo Wana CHADEMA?

Yani yoooote, umechagua kupima akili yangu. 😅 🤓Sasa unafikiri ukitukana, wewe zako zitaongezeka mkuu.

Nachelea kusema huo 'Utajiri' wako, ninutajiri wa Matusi. Calm down bro.

Mnakiua chama cha CHADEMA wajameni. Walahi
 
Umeulizwa kama una akili timamu , kwa sababu , Salum Mwalimu alikwenda kwenye msiba huo bila kombati , kwanini unahoji Lissu kuvaa Suti ?
 
Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao.

Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo kikuu kiliingia kwenye msiba huo (nilikuwepo eneo la tukio)

Mbowe alipofika tu wale wote waliokuwa wanalia kwa Uchungu walinyamaza kama vile walipewa ishara fulanii ya kupisha Ujio wa Mbowe, hili jambo kwangu ni geni, Bashasha za wafiwa na Wageni wengine ziliongezeka mara dufu. Japo ni Msiba lakini watu walipata matumaini fulani hivi. Nikajiuliza huyu Raia ana kitu gani hasa kiasi cha kupooza mambo kwenye msiba huu?

Nimejifunza kwamba katika dunia hii usithubutu kushindana na aliyejaaliwa

View attachment 2901283View attachment 2901284View attachment 2901285
Nyumbu wamesahau kwamba walimuorodhesha kwenye list of shame na kumtukana sana.
 
Back
Top Bottom