denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Hayo mavazi ni sare ya chama, uwepo wa Mbowe eneo la tukio kwa maana nyingine anatuwakilisha mpaka kina mimi ambao tupo mbali na msiba ulipo. Hivyo ukiona "khaki" siku zote imevaliwa na kiongozi yeyote wa Chadema, kuanzia leo ujue uwakilishi wa wanachama wengine upo mahala hapo.Mbowe ndo amekuwa mshamba hivi?!!!
Hayo mavazi ya mfgambo ya nini sasa hapo?!!!
Halafu mtoa mada wewe ni me au ke?!! Samahani lkn kuuliza!!
Kiongozi yeyote wa Chadema kuvaa nguo nyingine yoyote, tofauti na sare za chama, kwenye eneo kama hilo, maana yake anajiwakilisha yeye binafsi. Kuna siku niliona kwenye msiba wa Membe, J. Makamba na Nape wanamsumbua Lema kwa sare aliyovaa mahala pale, ndio nikajua bado tuna viongozi wajinga kiasi gani taifa hili.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app