Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

Ha ha. Picha hii kama inasema....


Mbowe: 'We Mzee wa Tembo, nimeona dongo lako la TShs. 2.7 Billion Ha ha Ha

Kinana: Wanajadiliana, sisi tunakula Asali Directly kwenye Buyu. Ha Ha Ha Ha Ha
Hii picha kwa wenye maono ya mbali wanaelewa ule msemo wa siasa ni mchezo wa maigizo.
 
Mzee wa kubadilisha gia angani .
Freeman anakipaji cha kuongoza ukiangalia namna alivyocheza dili ya kumvuta lowasa chadema hakuna aliyetarajia na ghafla upepo ukabadilika .
 
Hii picha kwa wenye maono ya mbali wanaelewa ule msemo wa siasa ni mchezo wa maigizo.
Haswa.

Vilevile, unaona kuwa hawa wanaotuletea Taarifa hapa jukwaani, wakitulaghai na kuutuzia siasa za Chuki, visasi, utengano, na matusi.


Kwamba jamaa wanatoana ngeu huko. Wakati mara nyingi huwa sio kweli.

Nikirudi kwa huyu hasimu wangu hapa, yeye huwa mara nyingi analeta picha, lakini hapendi wengine wawe wanafanya hivyo au kua na maoni yao tofauti.

A cognitive dissonance.
 
Hahahaha jambazi sugu la hela za ruzuku, fisadi, dikiteta, gaidi, liongo, jizi, tapeli, huni, etc
 
Mimi ni hasimu wa ccm siyo hasimu wa waganga njaa , ni kipi nimekuzuia kukifanya hapa jf ?
 
Mnalipwa kiasi gani kwa hivi mnavyojipendekeza?

Kwa Mwanaume ni fedheha sana jikazeni watoto wa kiume.
 
Mungu Ibariki CHADEMA[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wisdom is chasing you and you are always faster.
Hahahahahahahahahahahahaaa!
Kiingereza ni lugha nzuri sana ya kufanya character description iliyo laini kabisa, yaani mtu anaweza kutukanwa lakini asijue na aka akili akitabasamu huku akiomba kabisa urudie. Naramani ningekuwa naijua hii lugha kwakweli.
 
Mbowe ndo amekuwa mshamba hivi?!!!
Hayo mavazi ya mfgambo ya nini sasa hapo?!!!


Halafu mtoa mada wewe ni me au ke?!! Samahani lkn kuuliza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…