Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

Mbowe ndo amekuwa mshamba hivi?!!!
Hayo mavazi ya mfgambo ya nini sasa hapo?!!!


Halafu mtoa mada wewe ni me au ke?!! Samahani lkn kuuliza!!
Hayo mavazi ni sare ya chama, uwepo wa Mbowe eneo la tukio kwa maana nyingine anatuwakilisha mpaka kina mimi ambao tupo mbali na msiba ulipo. Hivyo ukiona "khaki" siku zote imevaliwa na kiongozi yeyote wa Chadema, kuanzia leo ujue uwakilishi wa wanachama wengine upo mahala hapo.

Kiongozi yeyote wa Chadema kuvaa nguo nyingine yoyote, tofauti na sare za chama, kwenye eneo kama hilo, maana yake anajiwakilisha yeye binafsi. Kuna siku niliona kwenye msiba wa Membe, J. Makamba na Nape wanamsumbua Lema kwa sare aliyovaa mahala pale, ndio nikajua bado tuna viongozi wajinga kiasi gani taifa hili.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huyu atakuwa Mdude Kwa uandishi duni huu lazima atakuwa yeye.Hii hata kwenye uchawa imepitiliza
 
Kwa wataalamu wa saikolojia Mbowe kuingia kavaa Kombat pale alikuwa na tatizo psychological panic of unknown hata usalimiaji wake UNa akisi hivyo
 
🀣 kwahivyo mliandaa action script kabisaa kuharibu msiba wa watu πŸ’

acheni izo ngonjera msibani bana, sifa za kijinga wrong ocassion na timing ...

R.I.P Laigwanan comrade EL japo kuna jamaa wanaleta maigizo, ngonjera, ufahari na madharao msibani kwako nyumbani πŸ’
 
Wewe na yeye wote ni chawa wa vyama vyenu mkuu, nyote mpo tayari kufia vyama
Chawa ni mnyonyaji wa damu , huko ccm wananyonya hela maana zipo , huku Chadema hakuna hizo hela za kugawia hao wanaoitwa Chawa , huku sisi tunailipa Chadema hela ili isogee mbele .

Kingine ni hiki , mimi ni Tajiri , nimeichangia Chadema mamilioni ya hela , kuniita chawa ni kunidhalilisha bila sababu , halafu niko JF kwa zaidi ya miaka 10 , kunifananisha na huyo kinda ni sawa na kunitukana matusi ya nguoni .

Mnaweza kuendelea kunitukana lakini hebu nitukaneni matusi mengine acheni huu uongo wenu
 
Ndio nguo zake ulitaka atinge na kanzu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…