Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

Ha ha. Picha hii kama inasema....

Mbowe: 'We Mzee wa Tembo, nimeona dongo lako la TShs. 2.7 Billion Ha ha Ha

Kinana: Wanajadiliana, sisi tunakula Asali Directly kwenye Buyu. Ha Ha Ha Ha Ha

Ingekuwa CCM ndiyo wamevaa sare za kijani basi vijana wa Mbowe wangelia sana!

Lakini kwa kuwa Baba yao kavaa magwanda basi wanaleta uchawa wa kusifia!
 
Wewe ni Tajiri?! [emoji28]

Sio vizuri kutufanya tucheke msibani.
 
Komredi Abdulrahman Kinana anapewa mawaidha kuhusu ruzuku.
 
Wanasiasa wanafki sana

Yani kwenye msiba wa mwezao, Wanacheka kama ni Party
 
Hapa unajua wanaongelea nini? Mbowe anamwambia Kinana! Hile 2.72billion sijui imeishaje??? Mnaweza kuniongezea I seeee!
 
chadema tujikite kwenye msiba mambo ya makombati hayana nafasi kipindi hiki cha msiba ndugu zangu
 
Ingekuwa CCM ndiyo wamevaa sare za kijani basi vijana wa Mbowe wangelia sana!

Lakini kwa kuwa Baba yao kavaa magwanda basi wanaleta uchawa wa kusifia!
Sasa, tuulizane tu...

Mbona hatuletewi picha za Tundu Lissu akiwa msibani?

Au hii ilikuwa ni ya Kombati tu na siyo ya Kuvaa suti?

Je, ina maana Lissu hakupata memo ya Kuvaa kombati msibani?

Yani kama tunavyoaminishwa hapa kwamba uvaaji kombati utakuwa ndio mtindo au ndio vazi la Wana CHADEMA kwenye Misiba, mbona Lissu hakuvaa? enyi nyini waliopitia pale na wadau wengine tatizo lipo wapi?

Nimewaza tu
 
Hapa unajua wanaongelea nini? Mbowe anamwambia Kinana! Hile 2.72billion sijui imeishaje??? Mnaweza kuniongezea I seeee!
🤓 ...kama ulikwepo! Ndio kujua hatujui, hiyo picha inaongea mengi sana.

😂😂bakuli limeisha😂😂😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…