Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Salamu wakuu...................
Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. πππ
Anyway, straight to the point π Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu
Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa tayari jamiiforums..
Kwahy nikaanza kusoma mada kwanza weeeh mpaka baadae nikawa inspired kujiunga nao ndo nikawa memba,
je wewe, ndugu mwanajamiiforums uliufahamuje mtandao huu?