Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Salamu wakuu...................
Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. 😂😂😂

Anyway, straight to the point 👉 Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu
Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa tayari jamiiforums..

Kwahy nikaanza kusoma mada kwanza weeeh mpaka baadae nikawa inspired kujiunga nao ndo nikawa memba,

je wewe, ndugu mwanajamiiforums uliufahamuje mtandao huu?
Hata mimi. Na ujumbe wangu wa kwanza nilireply kwenye thread fulani hivi.
Nilikuwa navutiwa sana na mijadala kila nikisoma wakati wa kutafuta taarifa fulani google. Nikaona bora nijiunge. Na hadi sasa, haiwezi kupita siku sijaingia JF. Hongera kwa waanzilishi wa jf
 
Wabarikiwe sana na naona ni platform nzuri inayokua kwa kasi Sana sikuizi
 
Salamu wakuu...................
Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway, straight to the point [emoji117] Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu
Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa tayari jamiiforums..

Kwahy nikaanza kusoma mada kwanza weeeh mpaka baadae nikawa inspired kujiunga nao ndo nikawa memba,

je wewe, ndugu mwanajamiiforums uliufahamuje mtandao huu?
Kupitia page yao ya Facebook, nilipokuwa nasoma habari iliyopostiwa then naambia soma zaidi (link), nilipofungua link nikakuta watu wanajadili, nilipotaka nami kutia neno nikaambia jisajili kwanza ndio nikajisajili.

Tangu siku hiyo FB nikaachana nayo kabisa
 
Back
Top Bottom