Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu inasaidia sana yaani juzi Kati ningetapeliwa huko fb ikabd nipitie mada za jamiiforums nikawa aware nikaescape 🏃 🏃 🏃Mimi nilijiunga JF kwa sababu miaka ya nyuma kuna bro wangu aliniambia nitapata mademu.. lakini mpaka leo sijapata wala sijawahi kutafuta humu. Ila jf imenisaidia sana
Woow, you are warmly Welcome to our family mkuunami pia nilianza na kuuona google... lakini haikutosha kunifanya nijiunge
WhatsApp walipoanzisha channel nikafollow channel ya JamiiForums
kuna mada wakituma link naingia kupitia website ila nikaona kuna option nyingine hazipo hadi u login au ku signup
ndo nika sign up nikawa new member
ahsante sanaWoow, you are warmly Welcome to our family mkuu
Ahaaa kumbe sasa mm hiy michuzi blogs siifahamu kabisaaaaNilikuwa namsikiliza yule mtangazaji wa Jahazi,I forget his name,yule aliyefariki alipokuwa MC katika maziko ya Ruge,nadhani.
Alikuwa anaongea mambo tofauti halafu akasema," Ukitaka kujua hizi gossip nenda Michuzi Blogs."
Baada ya hapo nilipokuwa naitafuta Michuzi Blogs,nikaiona pia Jamii Forums.
ndio kwasababu ni kama Mitandao mingine unaanza na "@" alafu unaandika jinaNikutanie kidogo mkuu unajua kumtag mtu???
Usije ukaja kuanzisha uzi Mwingine wa kuelekezwa namna ya kumtag mtu aisee
Mimi tenaMambo ya free basic..
Ila kuna jamaa anaitwa lifecoded 1
Alafu na Baba Swalehe
Hawa ndo walifanya mimi nivutiwe hapa...
Kipindi hicho lile jukwaa la intelijensia lilikua 🔥 🔥..
Kuna mada inaitwa ""prove binadamu ametokana na allien aiseee kuna watu wanajua mambo mule sio poa....
Hapo ndo nikaona kwanini nisijiunge mazima...
Ndo nikajikuta ni mlevi aiseeee
Hiyo mada naipata aisee mkuu Fundi manyumba usipokuwa vizuri kiimani unaweza kuwa mpaganiMambo ya free basic..
Ila kuna jamaa anaitwa lifecoded 1
Alafu na Baba Swalehe
Hawa ndo walifanya mimi nivutiwe hapa...
Kipindi hicho lile jukwaa la intelijensia lilikua 🔥 🔥..
Kuna mada inaitwa ""prove binadamu ametokana na allien aiseee kuna watu wanajua mambo mule sio poa....
Hapo ndo nikaona kwanini nisijiunge mazima...
Ndo nikajikuta ni mlevi aiseeee
Michuzi Blogs sijui kama bado ipo.Ahaaa kumbe sasa mm hiy michuzi blogs siifahamu kabisaaaa
Mkuu una mchango mkubwa sana kwangu..Mimi tena
Alafu mule unakutana na majamaa wapo comfortable kabisa kwa hayo mambo aisee mpaka unajiuliza hawa watu wana niniHiyo mada naipata aisee mkuu Fundi manyumba usipokuwa vizuri kiimani unaweza kuwa mpagani
kabisaaaaa🙌🙌
Bila uthibitisho unaweza kulishwa uharo wowote ule wenye vidudu vingi hatari sana ukaambiwa hii ni protein nzuri sana, safi na salamankwa matumizi ya watu.Alafu kipindi hiko hiko nikawa nafatilia hii jamaa ambayo bila uthibitisho uwezi mwambia kitu akaelewa Kiranga