Guardiola
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 406
- 936
Mkuu..
Mm pia nimeutambua mtandao huu na hatimae kujiunga baada ya kuona kila nikiuliza swali (baadhi) google napatiwa majibu tena kwa kina kutoka JF.
Tangu hapo nikapata wasaa mzuri wakupitia pitia pia baadhi ya nyuzi kwanjia ya website pasi na kujoin.
Hakika nikaenjoy sana maana madini niloyapa ni mengi hatimae muda si mrefu sana nami nimekuwa mwanachama wa App hii.
N.B; JF ni mtandao ambao hautambuliki kwa watu weupe hata ukiwatambulisha..