Yapo mengi confused about World history yaani kuna maajabu yalifanyika zamani za kale kipindi ambacho historia inayokuambia watu waliishi mapangoni na walikula mizizi ila amini ndio kipindi ambacho tayari Dunia imeshakaliwa na advanced civilization yenye Science na Teknolojia kubwa kuliko yetu na hatujui nani au viumbe gani walifanya hayo maajabu hapo ndipo nadharia za Alliens kama hao ANNUNAK, Andromedan,Zetaz reticul,Sirians,Plaidelian na race nyingi za reptilian waliowahi ishi duniani mamilioni ya miaka iliyopita zinaanza kumake sense kwamba we are not alone!
Watu wa kale hawakua wajinga kuawaabudu miungu yaani waliabudu viumbe waliowaona kwa macho yao na viliwapa mahitaji yao
Unajua historia ya Wamaya,Waaztec na Jamii zote za wahindu wekundu kumwabudu mungu Quetzalcoatl au Kukukan?
Au wahindi wa India na huko Sri lanka kumwabudu Krishna!
Hao jamaa Moja ya masimulizi yao wanadai miungu yao ilikua inapaa angani na flying machine (Spaceships)
Ukiwasikiliza katika documents zao utajifunza hao Miungu walikua advanced kwenye science na Technology!
Who are they!