Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Wakati nimehitimu form four mwaka 2013 nilivyokua nikisearch kuuliza matokeo ya form four yatatoka lini inanileta kwenye uzi wa jf
 
Kuna jamaa tulikuwa tunabishana kuhusu Idi Amin Dada Oumee.
AKA 'Big Daddy', AKA
'Butcher of Africa', AKA 'Conqueror of the
British Empire', AKA
'Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea Kama kweli alikuwa anakula nyama za watu jamaa akatujibu ngoja aulize Jamiiforums.. hii ilikuwa 2008
Majibu yakatokaje mkuu
 
🤣🤣🤣 Daaah mwanamke wa mithali acha chuki na anonymous member wa mtandaoni utakufa kabla ya wakati wako my dear.

Ukinichukia hunipunguzii lolote mi nakupenda sana nataka tu ujue hilo baby girl

🤣🤣🤣 Daaah mwanamke wa mithali acha chuki na anonymous member wa mtandaoni utakufa kabla ya wakati wako my dear.

Ukinichukia hunipunguzii lolote mi nakupenda sana nataka tu ujue hilo baby girl
Vyovyote I don't care

I hate you
 
Watu wapo tokea enzi za jamboforums .
Mwaka Fulani nilkua nasimamia internet cafe so mteja mara Kwa mara muda ulikua ukiisha nilikua nakuta hizo searching zake hasa za XXX na jamboforums
 
Back
Top Bottom