Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Kuna jamaa tulikuwa tunabishana kuhusu Idi Amin Dada Oumee.
AKA 'Big Daddy', AKA
'Butcher of Africa', AKA 'Conqueror of the
British Empire', AKA
'Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea Kama kweli alikuwa anakula nyama za watu jamaa akatujibu ngoja aulize Jamiiforums.. hii ilikuwa 2008
Hahahaahaaa! hapo ongezea na The Last King of Scotland
 
Kuna kanokia flani nilikuwa natumia nimesahau tu model yake ilikuwa ni zile za kufunua,usiku nilikuwa nalala saa 7. Nakumbuka kuna KE alikuwa anajiita Mzuri Mie
 
Just way back 2011 or 12

Nilienda kukaa na ndugu kigoma mjini magereza kule
Alikuwa na PC kila Niki search vyuo inaniletea option ya Jamii forum

Baadae 2013 nikajiunga

Nikafahamiana na dada moja wa Arusha,she was so kind to me na alikuwa mstaarabu sana bahati mbaya hatukuwahi kuonana kwani alipotea ghafla kwa ile I'd

Mkubwa @mexence melo amekataa kunirudishia I'd yangu ya kwanza
 

Attachments

  • sumer-sargon-gettyimages-463920307.jpg
    sumer-sargon-gettyimages-463920307.jpg
    423.3 KB · Views: 1
Kumbe ndo wewe.mtu mwenyewe ahahahahha
Kama uliwahi soma pahali ya kwamba Mungu alisema tushuke na tujionee mnara wa Babel wanaojenga wanadamu basi hao jamaa ndio hawa kina Lord ENLIL na ENKI hao ANNUNAK
Katika masimulizi ya watu kuona Malaika wenye mbawa hahahah huo ni ujinga wa zama za kale hao ni Igigi halafu hawa Annunak wenyewe walikua advanced kwenye science and technology kiasi kwamba watu wa kale waliona maajabu tu na wasijue spaceships ni nini na hata hawakujua siraha za mionzi ni nini!
Wakawaabudu kama miungu shenzi type!
 

Attachments

  • ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    295.7 KB · Views: 1
  • 100310-pharaoh-vmed-926a.jpg
    100310-pharaoh-vmed-926a.jpg
    1.2 MB · Views: 1
  • 55.153_PS2.jpg
    55.153_PS2.jpg
    43.1 KB · Views: 1
Kama uliwahi soma pahali ya kwamba Mungu alisema tushuke na tujionee mnara wa Babel wanaojenga wanadamu basi hao jamaa ndio hawa kina Lord ENLIL na ENKI hao ANNUNAK
Katika masimulizi ya watu kuona Malaika wenye mbawa hahahah huo ni ujinga wa zama za kale hao ni Igigi halafu hawa Annunak wenyewe walikua advanced kwenye science and technology kiasi kwamba watu wa kale waliona maajabu tu na wasijue spaceships ni nini na hata hawakujua siraha za mionzi ni nini!
Wakawaabudu kama miungu shenzi type!
Mbn picha kama za watu wa kawaida
 
Aiseee Kwani wanaishi planet gani mkuu Dumas the terrible
Hawa jamaa Asili yao wanatoka Mifumo nyota ya Sirius A na Sirius B hawa viumbe ni advanced kwenye science and technology kiasi kwamba walitengeneza artificial giant Intelligent planet kubwa hata mara tatu ya Dunia na hua ina move popote watakapo katika Ulimwengu huu hiyo ndio NIBIRU au planet X na Moja materials zilizotumika kuiunda ni dhahabu waliyoichimba Duniani kwa maelfu ya miaka hivi unajua hapa Duniani reserve yote ya gold ilishachimbwa hapo kale kabla ya ustaraabu wa Mwanadamu?
Hao ndio Annunak the gold digger na balaa lao!
 
Mbn picha kama za watu wa kawaida
Be serious meeeen yaani hao ni watu wa kawaida?
Hao ni Nephilim ni giant Intelligent na imortal being
Hebu angalia hii ndio utajua they created man kwa mfano wao
 

Attachments

  • 1711834741652.jpg
    1711834741652.jpg
    496.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom