Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Mkuu..

Mm pia nimeutambua mtandao huu na hatimae kujiunga baada ya kuona kila nikiuliza swali (baadhi) google napatiwa majibu tena kwa kina kutoka JF.

Tangu hapo nikapata wasaa mzuri wakupitia pitia pia baadhi ya nyuzi kwanjia ya website pasi na kujoin.

Hakika nikaenjoy sana maana madini niloyapa ni mengi hatimae muda si mrefu sana nami nimekuwa mwanachama wa App hii.

N.B; JF ni mtandao ambao hautambuliki kwa watu weupe hata ukiwatambulisha..
 
Mkuu una mchango mkubwa sana kwangu..
Mana kipindi hiko nipo adv kuna nyuzi flan hvi kule jukwaa la elimu aiseeee..

Wee jamaa na physics kama ishirini na twenty amaana ulikua unachora na michoro kabisa ukiwa una solve maswali ya rigidy body
Ukitoa kazi yangu ya utabibu sijawahi jua nina mchango kwa watu humu asante sana mkuu..
Kikubwa huwa napenda utani humu. Na sasa nashindwa majukumu yamenizidia
 
Ukitoa kazi yangu ya utabibu sijawahi jua nina mchango kwa watu humu asante sana mkuu..
Kikubwa huwa napenda utani humu. Na sasa nashindwa majukumu yamenizidia
Ahahahahahah kweli hadi mi nimeona kwa sasa kazi kazi.

Maana upo adimu sana humu..
Au madude ya organic yanakufanya uwe bize
 
Unataka niingie kwenye kufuru mkuu kwa hapo umenikosa....

Ukiendelea mkuu nakukula blok
Acha woga mtoto wa kiume,kufuru ipo kwa wajinga tu ila werevu hawana ujinga wa kitu kinaitwa kufuru,
Hata Lord Jesus Christ katika Moja ya text jews walidai anakufuru kwa kua waliambiwa kitu ambacho hawapendi kuambiwa kwa sababu ya morals na dogmas walizojiwekea ila uhalisia hizo akili hazipo kwa lengo la kulimitiwa na jambo fulani ila inahitaji uhuru wa fikra ili ujitoe kwenye mnyororo wa ujinga think twice!
 
Weee jamaaa huko juu utakaangwa wee endelea na imani zako za ajabu
Imani?
What the fvc fun dude,
Yaani maswala historical ni imani be serious haujui kutofautisha imani na historia?
Toka nje ya box hakuna juu wala chini ambako nitaenda kaangwa sababu naijua kweli nayo imeniweka huru!
 
Yule jamaa aiseee ni mbishi sasa assume yule jamaa kawapangua watu kibao na mpaka sasa bado kashikilia bendela ya dunia tambarare.

Ukigusa ule uzi kwanza una flashiwa ..kama ulikuja na geography yako ya form one utoboi
😂😂😂😂😂😂😂
 
Acha woga mtoto wa kiume,kufuru ipo kwa wajinga tu ila werevu hawana ujinga wa kitu kinaitwa kufuru,
Hata Lord Jesus Christ katika Moja ya text jews walidai anakufuru kwa kua waliambiwa kitu ambacho hawapendi kuambiwa kwa sababu ya morals na dogmas walizojiwekea ila uhalisia hizo akili hazipo kwa lengo la kulimitiwa na jambo fulani ila inahitaji uhuru wa fikra ili ujitoe kwenye mnyororo wa ujinga think twice!
Duuuh ujue mi na wewe tunatofautiana hapa...

Wewe kichwani una mambo mengi na processer yako ukute ni 5GHz sasa huko mi sijafika mkuu ndo mana nakua nipo weak kwa hayo mambo...

Hapa ni kupeana elimu tu mwanzo mwisho ili tujue mkuu..

Sema tukija kwa u serious moto upo tena ni ule wa blue non luminous flame take it...
 
Imani?
What the fvc fun dude,
Yaani maswala historical ni imani be serious haujui kutofautisha imani na historia?
Toka nje ya box hakuna juu wala chini ambako nitaenda kaangwa sababu naijua kweli nayo imeniweka huru!
Daaah yaani mkuu unanichanganya tuu hapa aiseeee....
🙌🙌🙌🙌
 
Duuuh ujue mi na wewe tunatofautiana hapa...

Wewe kichwani una mambo mengi na processer yako ukute ni 5GHz sasa huko mi sijafika mkuu ndo mana nakua nipo weak kwa hayo mambo...

Hapa ni kupeana elimu tu mwanzo mwisho ili tujue mkuu..

Sema tukija kwa u serious moto upo tena ni ule wa blue non luminous flame take it...
Kiufupi huo moto Sio moto kama unavyofikiria yaani fire no broo,
Bible inaelezea moto wa Jehanum kama mfano tu sababu hio Jehanum lilikua ni dampo la kuchomea takataka lililokua nje ya mji wa Jerusalem hapo kale na dampo hilo liliwaka moto almost kipindi cha Mwaka mzima kutokana na hilo Israelites walitumia kuelezea mfano wake kwa watu kwamba if your soul lost in darkness spiritual inakua Motoni mfano wa Jehanum milele so hapo ndipo Mwanzo wa masimulizi ya moto yalipoingia katika mythology za wayahudi
Ila kiuhalisia hapo ilitumika lugha ya picha kulingana na Mazingira ya kipindi hicho mkuu usiogope kujifunza!
Karibu Fundi manyumba
😁😁
 
Kiufupi huo moto Sio moto kama unavyofikiria yaani fire no broo,
Bible inaelezea moto wa Jehanum kama mfano tu sababu hio Jehanum lilikua ni dampo la kuchomea takataka lililokua nje ya mji wa Jerusalem hapo kale na dampo hilo liliwaka moto almost kipindi cha Mwaka mzima kutokana na hilo Israelites walitumia kuelezea mfano wake ufankwa watu kwamba if your soul lost in darkness spiritual inakua Motoni mfano wa Jehanum milele so hapo wa masimulizi ya moto yalipoingia katika mythology za wayahudi
Ila kiuhalisia hapo ilitumika lugha ya picha kulingana na Mazingira ya kipindi hicho mkuu usiogope kujifunza!
Karibu Fundi manyumba
😁😁
Dumas the terrible unaweza mshawishi mtu aanze kufanya mambo ya hovyo ahahahahhah daaah ......

Kama ndo ni masimulizi mkuu mbona hivi vitabu kama vina ukweli ndani ake mfano quran..

Kuna mambo inasema ambayo kiufupi ni kweli kabisa..

Piga picha kwa sayansi ya zamani ilikua ni impossible kumwelezea mtu jua linazunguka lakini quran ilisema hv..

Baada ya technology kuja tumegundua hilo je unaweza kuelezea hii maana kwa ulivo sema kuwa ni story aiseee hi nayo imenifikilisha
 
Presentation yangu ya kwanza ililikua ya kufanya SWOT analysis kati ya Tanzania na Zimbabwe 2010 hiyo asee JF lilikua darasa tosha nakumbuka nilibutua 18/20
 
Nilijua mtandao wakupatia madem kama tinder .nashangaa nakutana na mada tuh na taarifa za kuogopesha .
 
Back
Top Bottom