Sijaufaham Bado.....Salamu wakuu...................
Jazeni nafasi wazi apo juu Kwanzaa. πππ
Anyway, straight to the point π Kama kichwa kinavojieleza je, wewe uliufahamuje mtandao huu
Binafsi nilikuwa kila nikisearch vitu kwa lugha ya kiswahili kwenye google nikawa naletewa matokeo ya mada hizo yashajadiliwa tayari jamiiforums..
Kwahy nikaanza kusoma mada kwanza weeeh mpaka baadae nikawa inspired kujiunga nao ndo nikawa memba,
je wewe, ndugu mwanajamiiforums uliufahamuje mtandao huu?
ππππUzi wa kula tunda kimasikharaπ, hatare sana
πππNilijiunga kupitia ka nokia c3, nilikua napenda kujifunza maswala ya imani kwa kugoogle swali majibu yanakuja yananielekezea jforum..
Aisee ulianza kuutumia kitambo kweli MauiππππKuna jamaa tulikuwa tunabishana kuhusu Idi Amin Dada Oumee.
AKA 'Big Daddy', AKA
'Butcher of Africa', AKA 'Conqueror of the
British Empire', AKA
'Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea Kama kweli alikuwa anakula nyama za watu jamaa akatujibu ngoja aulize Jamiiforums.. hii ilikuwa 2008
πππππππ¬π¬π¬
inawezekana Maana tumetoka kuwafundisha kule jinsi ya kuandika kwa rangi mbalimbali πππ
Hahahaha π hausahauπ¬π¬π¬
inawezekana Maana tumetoka kuwafundisha kule jinsi ya kuandika kwa rangi mbalimbali πππ
Niliwai pia kuishi bila Imani yoyote maana niliona Haina maana . Ila JF buana πMimi sikumbuki Ila nikwasababu ya hulka yangu ya kutoka kujuajua vitu.
Nafikiri nimejifunza negative aspects nyingi kuliko positive kwenye mitandao.
Mfano Kuna Uzi ukiusoma unajiona we huna kipya Cha maana na unashawishika kujaribujaribu vitu Kama kula tunda kimasihara, na masuala ya Imani π.
Kuna kipindi niliwai mtongoza lecture wangu sababu ya nyuzi Kama hizo dah ππ