Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe!
Atayefungwa kataka mwenyewe!
Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira nyuma pasipo chenga na mbwembwe! Hatari ya kukosea kwa mabeki inaweza kuwagharimu simba!
Kipindi cha kwanza hasa dakika za mwanzo Simba potezeni muda, toeni mipira inje la sivyo mtapasuka!
Kipindi cha pili ni kipindi cha Ushindi wa SIMBA! nawashauri washambuliaji machachari wa simba waingizwe kipindi cha pili maana kuwaaingiza kipindi cha kwanza nikuwachosha tu! Kipindi cha pili kama simba itakuwa imefungwa basi itasawazisha!
Lakini kama itakuwa haijafungwa basi itakwenda kutwaa ubingwa kwa uzembe wa yanga kushindwa kuzitumia dakika za mapema!
Lango la magoli kwa timu zote mbili ni lilelile moja! Yaani kama yanga watafunga kwa lango la magharibi au mashariki basi na simba watakuja kufungia lango hilohilo!
Endapo Yanga wasipo funga basi simba lazima kesho itapata goli kupitia lango la magharibi!
Nguvu za ushindi ni sawa! Atakayefungwa kapenda mwenyewe kwa uzembe wake!
Naandika haya Leo jumamosi saa 1:06 mchana! Mechi ni kesho saa 11