Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ina maana kamanda na yeye atakuwa amelizwa?View attachment 735994
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ina maana kamanda na yeye atakuwa amelizwa?View attachment 735994
What's is that? Tupeane tahadhari mapema.Nadhan the same has happened kweny kampuni nyingine inaitwa IML..
ila sio ontario ni m south mmoja hivi alinipoteza kumbe yeye account yake inasomaa dollar 78,000 na ushe so kwake riskilikkuwa ndogo sanahahaaa..ati mentor choko
hahaha maana pesa kwako wewe uliigeuza kuwa rasilimali ..ili kuwa nijambo jema ..lakini mahala ulipokuwa umechagua kuziwekeza ndio ilikuwa mtihani "" Ontario ni genius aiseee"" hahaaMimi niliingiaga mzima..niliona tengeneza hadi dola 1500. Nilikuwa nikiwaona watu wana IST najisemea hawa watu wana akili kweli!?
Nikiona Range Rover au BMW nikichanganya na maneno ya Ontario mixer na profit ya $1500 nawadharau Sana wa spacio ila muda huu nawaheshimu hadi wa spacio tena Ahahaha. Maana hata boda imegoma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]MKUU HICHO KISHATI CHAKE noma sana kimekaa kama bendera,😀😀😀😀😀
Nyuzi zingetapakaa kama motoNajaribu kufikiria huyo mwingine angekuwa Makonda.....!
Ah ah ah ah! Najiona kubabake nimekaa pale!? Mwangu futa hii picha..unanidhalilisha!
haahhaa manina ...hapa waizungumzia mansion ya ml.900hivi unadhani nikitu rahisi kuwa nacho kama. ilivyo kuwa kujamba"". huyo mentor wako tu "" mjengo kama huo hana""hata boda imegoma wee jamaa wewe uenifurahisha sana. mimi nilikuwa nawaza jumba kubwa kama la rick ross ila saizi hata nyumba ya kupanga naona maboss
hahaaaa sasa wewe anakujua nani .."" siunatumia fake I'd humu kausha tu "" tuwaangalie misukule ""Ah ah ah ah! Najiona kubabake nimekaa pale!? Mwangu futa hii picha..unanidhalilisha!
Hahaa ndo wewe mzee wa makamo pale mwishoAh ah ah ah! Najiona kubabake nimekaa pale!? Mwangu futa hii picha..unanidhalilisha!
hivi huyo ni binti?Wewe binti jiangalie.
hahaaa ile kampeni yake ya fursa nayo ni janja janja tu ..anapiga hela kibao pale "" maana kuna wadhamini kibao anaowapata kupitia ile kampeni....ontario nae akaona ngoja nimpige ""maana yeye siamezoea kuwapiga wenzake tuDuuh,hadi boss luge,mzee wa fursaaa.nae kawa fursaa[emoji16] [emoji16]
unakumbuka Yale mambo MzeE"""!!?Aaah nakumbuka January nilipigwa hadi ban kisa ule Uzi
BMW sio matako kwamba kila mtu anayo! Jinsi tulivyochakatwa nadhani mme anaitamani hata Passo.Humble African naomba kujua yule Executive secretary ashanunuliwa ile BMW sijui 6 maana ilisemekana pesa zitatoka forex kwa mme
Ah ah ah ah! Nimecheka sana.Hahaa ndo wewe mzee wa makamo pale mwisho
mkuu umevaa nguo ganiiiAh ah ah ah! Najiona kubabake nimekaa pale!? Mwangu futa hii picha..unanidhalilisha!