Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Watu kuona real Account ya ontario
Mimacho iliwatoka hahahaaa[emoji1] [emoji1]
Nabado
Pigeni msuli mjitegemee
Forex sio ya kusoma siku 5
Inaitaji miez zaid ya mii3View attachment 735848
Niko katika forex miezi saba sasa nimepoteza hela kibao huko nyuma ni kutokana na kuwa mgeni na pili kutokuwa na njia sahihi ya kupitia .

Sasa naona mafanikio kila siku ni vigele gele.

TMT wangebaki kuwa trainers tu mambo ya kuwakumbaltia watu ,kutoa signal ni ujinga

Anaeyepolea signal ni mpumbavu kabisa nasema ni mpumbavu ukitaka ufanikiwe forex tafuta njia moja tu nasema tena moja tu ifanyie mazoezi hata kama mwaka nzima ujiimasta ingia kazini

Signal zina walemaza traders wengi na hutoweza fanikiwa kwa kuwa mpokea signal kila siku .

Mimi nilitafuta njia yangu kutoka kwa jamaa mmoja.nje huko na vitabu vyake ndio nilivyokomaa navyo .

Nawashauri watu ukiona mtu anakuambia anataka kukufundisha kubali ila akishaanza kukupa signal kataa na akikuchagulia broker kataa unapswa ujue aina za brokers

In forex u need a strategy and trading plan only

Hata hivyo forex sio kwa kila mtu mlio nje ya forex acheni matusi kwa sababu hakuna mnachojua.

Forex inahitaji deep knowledge and skills and patience otherwise haikufai

Kauze karanga
 
At the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?
Kaka mshana forex ni real kabisa haina fix ila kuna watu sasa wanatumia umbumbu wa wasio jua kula hela zao so hao ndio wanaitia doa

Forex ni kujifunza mwenyewe na unaifanya mwenyewe kwa akili zako sio kuambiwa na mtu na.nakushauri usome kidogo kitabu huone jinsi ilivyo

Walikuwa wanafushisha basicc tu but hawakuwa deep kivile na walichoharibu ni kutaka kuwakumbatia watu
 
Niko katika forex miezi saba sasa nimepoteza hela kibao huko nyuma ni kutokana na kuwa mgeni na pili kutokuwa na njia sahihi ya kupitia .

Sasa naona mafanikio kila siku ni vigele gele.

TMT wangebaki kuwa trainers tu mambo ya kuwakumbaltia watu ,kutoa signal ni ujinga

Anaeyepolea signal ni mpumbavu kabisa nasema ni mpumbavu ukitaka ufanikiwe forex tafuta njia moja tu nasema tena moja tu ifanyie mazoezi hata kama mwaka nzima ujiimasta ingia kazini

Signal zina walemaza traders wengi na hutoweza fanikiwa kwa kuwa mpokea signal kila siku .

Mimi nilitafuta njia yangu kutoka kwa jamaa mmoja.nje huko na vitabu vyake ndio nilivyokomaa navyo .

Nawashauri watu ukiona mtu anakuambia anataka kukufundisha kubali ila akishaanza kukupa signal kataa na akikuchagulia broker kataa unapswa ujue aina za brokers

In forex u need a strategy and trading plan only

Hata hivyo forex sio kwa kila mtu mlio nje ya forex acheni matusi kwa sababu hakuna mnachojua.

Forex inahitaji deep knowledge and skills and patience otherwise haikufai

Kauze karanga
hebu share kidogo njia yako au weka hata screen shot tuone kama huto jali
 
  • Thanks
Reactions: uth
Kwa hiyo sisi tumekuwa Kama wacambodia nini?
Kwanza pole mkuu
Ila binafsi nilikua mpole na hvo fx n kutrade pesa ambayo hauna kaz nayo.. Bas hua najirusha na demo kwenda mbele more than 7 months sasa but nikipata ambazo hazina kaz nita test mitambo templer fx..
Njo pm unipe japo few more tips..
All i do is material gathering..
 
Back
Top Bottom