Watu tumeandika sana kuhusu TMT na ONTARIO miezi mingi sana nyuma huko ila still watu wanaibiwa tu na mtu huyo huyo.
Nyie mnaoliwa sasahivi ni kwa kujitakia na ONTARIO endelea tu kuwala kwasababu hawawezi kutrade pasipo nyie.
Sasa TMT Na ONTARIO sasa sio wa kulaumiwa ila wakujilaumu ni hawa walioziba masikio na kusema "Watu wanachuki binafsi na ONTARIO" na wengine wakasema "FOREX DAR ndio wanasambaza habari za chuki kumharibia mshindani wao ,ONTARIO".
ONTARIO endelea tu kuwala wote wanaoendelea kufanya FOREX na nyinyi.
Watu waliandika sana mkaanza kuwaharibia thread zao kwa kukanunsha kila kilichoandikwa mda ule.Hakuna kipya hapo alichokindika Mleta mada ambacho toka mwezi wa 10 mpaka jan hakikuandikwa humu na vyote vilikanushwa na watea wake kindakindaki.
Watu wameona NANDI kaenda FOREX kwa ONTARIO akapiga picha na ONTARIO akaipost humu watu wakaanza kusema mbona NANDI kaenda bhana,hawa wengine ni chuki twendeni(Great thinkers wenzetu wakavutwa na NANDI hahahah).
ONTARIO kama utasoma hii comment ujue tu mimi sina kesi wala tatizo na wewe hata kidogo maana tofauti yangu na wewe nilimalizia kwenye thread hii
SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)
Myahudi Jr II ni muelewa sana sikuhizi huwa hafuati upepo na hatokuja kukukandia mleta mada kama alivyokuwa akifanya kwenye thread hii
SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)