Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

D9,forex nilizitilia shaka tangu mwanzo
Forex haina tatizo.
Tatizo linakuja na watu wanaokufundisha hiyo biashara na kukuambia uanze kuwekeza pesa yako baada ya mafunzo ya wiki moja.

Tatizo jingine ni hao Mentor na Brokers wahuni.
 
Na kweli mlipoitwa kwenye fursa mkakimbilia kuwa fursa Ontario akawatumia.
Poleni sana wazee wa kudownload pesa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah.
unajua kuna vitu vingine inabidi uvifanye kama kamari tu[emoji23] .. sio ujiwekee 100 mia
 
  • Thanks
Reactions: uth
At the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?
Hebu fanya Kama unafukua kaburi Rumburiaaa ili nasi tujisomee!
 
Shukrani mkuu! Kwa sasa sijui ni nani ataweza kuniingiza mkenge kwenye hii Forex.

Nimeiva! Something that doesn't kill you it can only makes much you stronger.

Hongera kwa kuwa umechukulia positive.

Huna sababu ya kulalamika retreat and songa mbele.
 
  • Thanks
Reactions: uth
mkuu tatzo mm natumia naked price sas nikiweka ma bollinger hyao daaaah naona mavitu vingi[emoji23][emoji23]
unaweza tuia moving average ya 12EMA na 5EMA MBONA iko safi tu sema uwe makini
 
  • Thanks
Reactions: uth
Unapopewa wazo la kibiashara inabidi nawewe uliweke kwenye mizani, kwahio na mimi nilifanya hivyo hivyo nikagundua I'm not smart enough for that thing called Forex business.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] poa poa mkuu
 
Back
Top Bottom