Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Unajua robot wanaweza kupata faida sana Kwenye Forex maana hawana emotional na adui mkubwa wa Forex ni emotional pekee.

Jaribu kutafuta best ways to handle emotions then you will be fine. Huu mtihani Mimi nilishaupita..emotions nilishazinyofoa zamani.

Kwa sasa siko Dar mkuu.
hahahahaahahahah handle emotions emotions nilishazinyofoa zamani. hongera sema mpaka nilipofikia saizi nahisi zimepungua tofauti na kipindi cha nyuma. saizi labda kwenye margin call ikitokea ndo nitashtuka
 
nini hatma ya huyu Ontario aliyewaingiza chaka.?
~je utamshitaki?
~au ni kimya kimya?
~ontario anajiteteaje?
Kimya kimya wengine wanashukuru kwa knowledge waliopata na kujikata kivyao.

Wengine wanataka kufungua malalamiko panapohusika.

Wengine wanagugumia moyoni kisiri siri.

Wengine Ndio kama hivi tunakuja JF kutoa tafadhali na kupunguza machungu. Maana wengine tukisema tuna cool down temper na maumivu.
 
Kimya kimya wengine wanashukuru kwa knowledge waliopata na kujikata kivyao.

Wengine wanataka kufungua malalamiko panapohusika.

Wengine wanagugumia moyoni kisiri siri.

Wengine Ndio kama hivi tunakuja JF kutoa tafadhali na kupunguza machungu. Maana wengine tukisema tuna cool down temper na maumivu.



Hivi sasa una trade na nani.?
 
Mimi niliingiaga mzima..niliona tengeneza hadi dola 1500. Nilikuwa nikiwaona watu wana IST najisemea hawa watu wana akili kweli!?

Nikiona Range Rover au BMW nikichanganya na maneno ya Ontario mixer na profit ya $1500 nawadharau Sana wa spacio ila muda huu nawaheshimu hadi wa spacio tena Ahahaha. Maana hata boda imegoma.
hata boda imegoma wee jamaa wewe uenifurahisha sana. mimi nilikuwa nawaza jumba kubwa kama la rick ross ila saizi hata nyumba ya kupanga naona maboss
 
Tulipowaambia awali mlitubeza na kejeli juu leo mmebaki mnalia hovyi hovyo tu.......unaanzaje kumuamini mtu mweusi kiasi cha kumpa haki miliki ya fedha na utu wako?
 
nili weka lot size kubwa na nikafungua position kama 4 hivi nikiamini kuwa after news price ita drop lakini baada ya hapoo ilipanda kwa kasi sana hadi kuunguza account na baadae kama masaa kadhaa ikashukaa taratibu
Kwa mawazo yangu lakini si vyema kutrade wakati wa news kubwa kama NFP mpaka umeielewa vyema forex jambo jema jifunze strategy utakayoielewa vyema
 
ndio mkuu si unajua indicator nazo iz mda mwingne zin toa late signal na entry lakin iz fibs uakika tak los na entry
hahahaha
safi sana ila mimi ni vitu vitatu navikubali sana
price action easy
parabolic
bollinger band

ni huakika sana
ukijumlisha na akili yako basi na 21 EMA
pesa.JPG
 
Nashauri huyo dogo Ontario akamatwe Mara moja na Jeshi la Polisi wakishirikiana na kitengo Takukuru na magendo......


Popote alipo akamatwe mara moja....huyo ni mwizi msomi.....
 
  • Thanks
Reactions: uth
Yule dogo ni self made millionaire very reliable and smart.

Kwa sasa anatoa mafunzo bure hadi gerezani kwa watu wanaojieleaa kuinvest in Forex.

Kusoma ni must ila sio ile intensive. Utajikuta unakuwa too emotional then unarudi kule kule.
Nitakutafuta mkuu..
 
Taaaatu Mzuuukaaa!!

Hakuna short cuts kwenye maisha.

Poleni wote mlioumizwa.
 
Back
Top Bottom