KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,370
- 1,511
Mkuu kwa sasa hapo TMT wanatumia broker gani?Hapa ndipo waswahili wanapofurahia anachomoa mkwanja toka London una ingia straight hadi kwenye m-pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa sasa hapo TMT wanatumia broker gani?Hapa ndipo waswahili wanapofurahia anachomoa mkwanja toka London una ingia straight hadi kwenye m-pesa.
Mimi niliingiaga mzima..niliwahi tengeneza hadi dola 1500. Nilikuwa nikiwaona watu wana IST najisemea hawa watu wana akili kweli!?"easy come..easy go''
ulibahatika kupata profit ya kiasi gani.?
Duuu safi sana Mkuu forex ni fursa kwakweli ngoja tuzidi kupambana mpaka kieleweke.ni kweli kabisa, alafa hii watu wanakosea wanapo ichukulia kama sehemu ya kujiongezea kipato.
mimi hii nimefanya kama ofisi, na ma document kibao, na huwa na kua naingia kama ofisini, hua siwezi kuacha trading mie niondoke huwa sifanyi hivyo, huwa nakaa hadi masaa yangu kumi yatimie. hii ni ofisi kwangu, kila ninacho fanya kinaingizwa kwenye record na mwisho wa mwezi najilipa mshahara na nyingine naicha kukuza mtaji. na soon naingia kwenye full time nataka ku quit kila kitu, nibaki na hii tu
yeaah lakin kuwek lots kubwa sio kupata faida kubw unawez wek lots 0.02 lakin ukapga hel kubwa pia risk ikawa ndogoItakua aliweka lots size kubwa ndiyo ikapelekea kuunguza account.
You need to meets knowledgeable, humble and person who is not greedy. Atakupa msaada.mkuu mimi nilitaka kwenda tmt ila kila nikipanga kunatokea dharura sasa nataka na mimi niive kama wewe nitaivia wapi ..nipe mwongozo..still i want to trade
Bado wana tafiti kuona nani atawafaa for the near future. Thus hawana broker kwa sasa maana sioni hata mentor akitoa calls for the last few days passed.Mkuu kwa sasa hapo TMT wanatumia broker gani?
Kitu cha msingi kwanza ni kumaster mchezo wa forex alafu faida inakuja baadae kuna strategy ukizijua unakua na uhakika wakupiga pesa unaweka lots size ata ya 1 au 2 bila tatizo ni vyema kusoma na kujifunza bila kukoma ili kujua ndani na nje ya forex.yeaah lakin kuwek lots kubwa sio kupata faida kubw unawez wek lots 0.02 lakin ukapga hel kubwa pia risk ikawa ndogo
Kinachoaribu watu wanataka Forex iwe get rich quick schemes wanajilipua na malot makubwa at the end wanakuwa market donors.yeaah lakin kuwek lots kubwa sio kupata faida kubw unawez wek lots 0.02 lakin ukapga hel kubwa pia risk ikawa ndogo
Kuna uzi bwana habib anga a.k.a the bold aliandika matapeli wa5 tanzania nadhan imefika wakati amuongeze na ontario katika ontario katika list hiyo.. Maana katapeli mpaka kina ay bado kidogo angemtapeli mpaka mkubwa wa sirikali maana jamaa anavyopenda hela za kitonga angechukua hazina yote akaenda kutrade[emoji23] [emoji23] ..Nandy, AY, Max, Ruge mutahaba, hawa wote nao wamekula za uso.
Wengine walikuwa wana trade kwa siri.
kweli mkuu upo sahihi..ninapo set analysis zang za price action ndan nikiwek demand na supply nikiweka na fibs lots aizid 0.50pip uakikaKinachoaribu watu wanataka Forex iwe get rich quick schemes wanajilipua na malot makubwa at the end wanakuwa market donors.
Ukiwa na lot ndogo hata emotions huwezi kuwa nazo maana umekuwa na discipline na soko. Ukiliheshimu linakuheshimu pia.
Tushapoa mkuu!Sikuwa nikiijua forex kabla ya ontario kuintroduce hapa jf, sikutaka kukurupuka nikatulia nikasoma kidogo, nikasoma comments za watu vya kutosha nikachanganya na akili zangu za kuzaliwa, nikagundua kuna uwezekano 85% forex ikawa real ila 97% ontario akawa tapeli, nikasukuti kwanza, nikaonheza akili kidogo nikaja kuona ninachokiamin ni sahihi, niligundua forex yaweza kiwa real ila inabidi uache kazi ufanye kazi, uisome mnoo maana ni very risk...
Polen sana ndugu zangu
Usikute sandile nae alikuwa km ontario[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Tushapoa mkuu!
Forex haina haja ya kusoma mno mkuu ile sio aerospace engineering. Na Ndio maana sandile shezi Forex millionaire imekuwa millionaire at the age of 20 via hii hii Forex.
Forex inataka practice, uachane na emotions, uwe na discipline, na proper risk management pamoja and knowledge basi wewe utapiga hela kirahisi sana.
Forex ina risk ukiwa hauna knowledge but ukiijua unachofanya its a great opportunity.
Umetisha mkuu! Safi sana hadi Fibonacci?kweli mkuu upo sahihi..ninapo set analysis zang za price action ndan nikiwek demand na supply nikiweka na fibs lots aizid 0.50pip uakika
Yule dogo ni self made millionaire very reliable and smart.Usikute sandile nae alikuwa km ontario[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
Ila mkuu inabidi usome upate kuelewa kwanza.
ndio mkuu si unajua indicator nazo iz mda mwingne zin toa late signal na entry lakin iz fibs uakika tak los na entryUmetisha mkuu! Safi sana hadi Fibonacci?
nili weka lot size kubwa na nikafungua position kama 4 hivi nikiamini kuwa after news price ita drop lakini baada ya hapoo ilipanda kwa kasi sana hadi kuunguza account na baadae kama masaa kadhaa ikashukaa taratibuTupe sababu zilizopelekea kuunguza account yako...
Forex ni knowledge, ila kuwa na knowledge si kigezo cha wewe kufanikiwa.. Soma sana psychology of trading
Mimi niliingiaga mzima..niliona tengeneza hadi dola 1500. Nilikuwa nikiwaona watu wana IST najisemea hawa watu wana akili kweli!?
Nikiona Range Rover au BMW nikichanganya na maneno ya Ontario mixer na profit ya $1500 nawadharau Sana wa spacio ila muda huu nawaheshimu hadi wa spacio tena Ahahaha. Maana hata boda imegoma.