Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Poa poa Mkuu wangu,Tuko tunalitumikia taifa mkuu,ndio maana huku tuko mara chache!!
Everything is well!! Nadhani sasa "ushaniona kwenye hii mada" kama ulivyotanabaisha kwenye comment yako ya awali!!
Hili Taifa kwa sasa tunakoenda ni kugumu aisee, pambana tu Mkuu wangu.