Nelly Willy
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 458
- 965
Sema wakuu kwa maisha ya sasa ndoa ni ufirauni,nimetoka kulomba mke wa mtu,anamatako malaini sana,oeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂qmmkeSema wakuu kwa maisha ya sasa ndoa ni ufirauni,nimetoka kulomba mke wa mtu,anamatako malaini sana,oeni
Hii ngeli ilopigwa hapa mpka nimeogopa😂 kunywa maji kdgo upoze Koo , mnatuchanganya mjueeHello please try to comprehend the briefing sort of an abstract of the story. Nobody is promoting infidelity nor adultery but rather uncovering the impacts against them. Learn to percieve things with a very positive sense.
Mkuu kuna kitu nimejifunza kutoka kwako ,mwanaume ni msimamoSana,binafsi nilishashindwa aise,kuna demu nilikuwa nae mkali hatari nilikuja kugundua anachart na mwanaume mwingine sio kufanya ni kuchart tu lkn dalili zilionesha anaelekea kibra si mda.Nilimwambia km utani,mimi na wewe ndoto zetu zimeishia hapa alilia machozi hadi mekundu wapi,akamtumia mama yake kubembeleza wapi akamtumia mama yangu kubembeleza wapi,demu kakubali yaishe amebaki kuwa anawasiliana na mama tu
Hakika,ukiwa umenyooka kama rula hakuna kiumbe cha kike kitachokuchezea akili au hata kukuzidi akili sana sana watakuganda tu na kukupa thamaniMkuu kuna kitu nimejifunza kutoka kwako ,mwanaume ni msimamo
😁Baba Recho au na leo upo na Recho!?
Tupe kisa mkuuSema wakuu kwa maisha ya sasa ndoa ni ufirauni,nimetoka kulomba mke wa mtu,anamatako malaini sana,oeni
Ila wanaume wao kudoea wanaona sawa ila mdoeaji akidoewa anataka kuuwanaHaha! Karibu Mdau.
Usipotoboa utatobolewaTuendelee EP 07
Nilipokea simu nikatega sikio kwa umakini. Recho " hello vipi". Mimi " Safi, Kuna usalama kweli..tulisha agana mpenzi wangu lakini!". Recho " kwakweli babaa hii dawa imeanza kunipa mawazo...sisikii chochote wakati nilitegemea mpaka saahivi mambo yawe tayari".
Mimi " ulimeza saa ngapi ?".
Alidai alimeza saa mbili usiku lakini sasa inaeelekea saa Saba hajahisi chochote kwa maana ya maumivu ya tumbo la chini au ishara za damu kumtoka. Nikamtuliza pale pamoja na kuwa Sina uzoefu na jambo la utokaji wa mimba na tukakubaliana alale tu tuone kesho itakuaje.
Kesho yake tukaendelea kuwasiliana huku Hali ikiwa vilevile. Toka tumeanza wizi Recho alipunguza kwa sehemu kubwa kunywa hasa Konyagi. Hakuacha kabisa lakini alipunguza, kuna kipindi alikua anaficha chupa kwenye viunga vya maua nje ili nikija nisione na anakula ndizi mbivu kuikata Ile harufu.
Bado niliweza kumgundua lakini kwasababu najua alikua akielekea kwenye uraibu sikumjia juu. Naelewa ingemchukua muda kuacha.
Hii siku ilipita pia pasipo dawa kufanya kazi na hapo tukaanza kushauriana atumie nyingine. Ila kabla ya kufanya hivo tuwasiliane na daktari tuone angeshauri nini. Asubuhi ile kimya, mchana kimya, usiku bado hakuna mabadiliko. Tukaagana saa 3 usiku kila mtu alale salama.
Binafsi ule usiku siku lala kabisa, nilikua kwenye hali ya kukosa amani na usingizi kabisa. Mungu saidia paka kucha. Nikapigia simu mwenyewe, "wewe upo sawa kweli, usiku sijalala kwa amani asee...na vipi bado tuu?!?". Recho " Z shukuru Mungu nimepokea simu yako...Mimi Leo nilikua nakufaaa". Akaendelea "Hivi kwenu huwa hamtoagi mimba eh?". Mimi nipo kimya namsikilizia kwa makini. " Hapa ndio nimemaliza kusafisha nyumba maana nilipakaza damu kila Kona".
Nikamdaka " So unamaanisha tayari!??". Recho " Sasa huelewi nini... ndio dawa imefanya kazi". Mimi " Dah! Anyway pole sana my love, kwahio damu imeacha kutoka au vipi". Recho " baby haiwezi kukata tu mara moja itaenda inapungua mwisho itaacha... ila mh! Ulizia vizuri kwenu, ukoo wenu itakua hamtoagi mimba!...kidogo nife".
Wiki ilikatika bado hajakoma kutoka damu, tukakubaliana aende kwa mtaalam/daktari acheki na asafishe masalia. Ikawa hivo na nafikiri ndani ya wiki mbili mambo yakawa shwari. Sasa likaibuka jambo hapa.
"Hivi mara yako ya mwisho kupima HIV ni lini?" Nikaulizwa swali. Mimi " Sikumbuki lakini jibu rahisi ni kesho twende wote hata maabara tu tukapime." Recho tena " unajua nimekuota vibaya sana leo... Yani Kuna mtu ananiambia huyo kijana unaetembea nae ni muathirika." Akaendelea " sasa na hivi baba ( .) anarudi nimejipata na hofu kweli".
Nikamuangalia kwa hasira kisha nikamwambia " Recho umefikia hatua ya kuniwazia mie nina umeme.... tumelala wote siku ngapi, na katika hizo siku tumetumia kinga mara ngapi?" Nikaendelea "Leo ni mwezi wa ngapi tupo kwenye mahusiano... kama na HIV ingekua hujaona dalili!?!?. Ok kesho mapema sana wote hospital ".
Kama ungeniona navoshout msomaji ungestaajabu. Recho ananizidi miaka 5, yaani ni mkubwa kwangu lakini nilikua kama Mzee wake katika kutoa kauli. Niliongea kiume na tena bila kupepesa macho pembeni wala kutafuna maneno.
Hapa chukua hii. Mwanamke ni mwanamke, hata awe ni Rais wa nchi ni mwanamke. Katika uumbaji mwanamke yupo kutii kile mwanaume utasema/amua juu yake. Ukitaka kuamini hilo mpe order mwanamke ya kufanya kitu kwa sauti ya kurembua huone reaction zake. Na baadae toa order hiohio kwa sauti ya mamlaka yani kiume uone tena reaction.
Hakika utekelezaji wa amri yenye mamlaka ndio utafanyiwa kazi chap pasina mapuuza.
Turudi kwa Recho. Baada ya kuongea vile nikaanza kuombwa samahani. "Basi naomba nisamehe mwanaume wangu. Jamani ndio unanikasikirikia hivo... alaf sijazoe unanikalipia hivi." Akaendelea " au hunipendi, usinigombeze bhana me nitaanza kukuogopa". Basi ili kutoa nyongo vizuri nikapelekwa chumbani. Kimoja tu nikasahau kwani nilikua nashoutia kitu gani.
Katika zile harakati za kuomba kazi maeneo tofauti tofauti kuna kazi moja mkeka ulitika japo ilikua ni nje kidogo ya mkoa na haikua ya kudumu, kama miezi sita tu. Sikua nimwemwambia Recho maana nilitakiwa kureport mwezi uliokua unafata na ndio kipindi hiko hiko mumewe Recho angerejea nchini.
Recho aliniomba kitu tena. Recho " kabla huyu hajaja naomba tujizoeshe mambo mawili." Mimi " enhee!". "Mosi, tupungeze kuwasiliana walau mara mbili tu kwa siku...pili, hii week nianche kabisa usiniguse tena". Kwangu Likija swala la kutomgusa Recho siwazi kingine zaidi ya kuhisia Recho ana mtu mwingine.
Nikamjibu "Kuhusu kuwasiliana nitajitahidi ingawa sina uhakika sana kama ntaweza... lakini kukula mama wangu utanisamehe. Wiki Hapana".
"Z lakini usisahau tunafanya hivi ili tusijestukiwa mapema...sio kwamba tutaachana my love". Akazidi kunisisitiza " tukiendelea kufanya sitaweza kumuigizia...ndio nitaweza siku ya kwanza lakini najua tu mbeleni atajua tu. Em nielewe basi jamani."
Kwasababu sipendi mijadala mirefu nikamwambia poa. Sasa hapa wivu ukaanza kunitesa. Mali sio yangu lakini ndio hivo nimepanda mtumbwi wa vibwengo tayari ntafanyaje. Kweli bhana siku hio pattern ya kuchat ilikua sio nzuri.
Rasmi sasa napiga simu zinaiita tu na hanirudii. Katika sms 10 Moja ndio inajibuwa tena zile 'K' au 'P'. Ajabu nikienda kwake mahaba kama yote ila kwa njia ya simu hapana. Hii ikanitesa kiasi na kufanya nizidi kupata hisia hasi dhidi ya Recho
Hayawi hayawi sasa sasa yamekua, wiki ijayo jamaa kathibitisha atatua katika Ardhi ya bongo. Toka nimeanza story huyu mwamba sijamzungumzia kabisa, ni kwasababu sio kiini cha ujumbe naohitaji uupate kupitia story hii lakini sio mbaya ukamfahamu kwa ufupi.
Jamaa ni mtumishi wa serikali na nafasi yake ni poa sana. Huyu mwamba alienda kujendeleza kielimu nafikiri, kwa bahati nzuri au mbaya nilikutana nae pasipo yeye kunijua na tukasalimiana kabisa. Hapa inahitaji moyo kidogo. Kipindi yupo nje mara kadhaa akiwa anavideo call na babe wake mimi nilikua nipo live. Hapo ndio tuwaogope wanawake.
Nikaoneshwa picha ya risiti ya ticket ya ndege, tarehe inasomeka ni siku tano mbele ndio siku ya safari. Na kweli sijamvua nguo Recho toka siku alioniomba nisifanye hivo.
Usichanganye, toka Recho agundue ana mimba, atoe na kupona ni mwezi sasa unakaribia kuisha. Kwahiyo mpaka jamaa anarudi unakua umetumia ule mwezi mmoja toka amjulishe mkewe kuwa angerudi Tz. Na nilimuweka mara Moja tu.
Sio kwamba nilishindwa kufosi penzi, Hapana. Najua udhaifu wa Recho upo wapi na ningeweza kutumia mwanya huohuo lakini niliona niheshimu tu kile alichoniomba kwani tayari nina jiona nimekua kirusi kuingilia familia ya mtu na bado niendeleze unyama. Hapa niliamua kuwa mpole kwanza.
Sasa silaha yangu kubwa ya mawasiliano iliobaki sio simu tena bali kwenda nyumbani kwa Recho. Mume wake anarudi, simu zangu hazipokelewi, ubwege wa mapenzi umenijaa. Je ntatoboa....